Ben Pol anyoa ndevu kuogopa kuitwa Al-Qaeda na Wamarekani

Ben Pol anyoa ndevu kuogopa kuitwa Al-Qaeda na Wamarekani

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828
Ben Pol alinyoa ndevu,kisa kuogopa kuitwa Al-qaeda nchini Marekani.

Unazungumiaje,mwonekane wake wa sasa?
1459611792702.jpg
 
Ben Pol anyoa ndevu,kisa kuhofia kuitwa Al-qaeda nchini marekani.

Unazungumziaje mwonekano wake wa sasa?

Chanzo.East Africa.
 

Attachments

  • 1459612093173.jpg
    1459612093173.jpg
    32 KB · Views: 47
Kwani hakuna wazungu wanaofuga ndevu huko Marekani, au uoga wake tu, kuna mwanamziki mmarekani, wa kuitwa Rick Ross, mbona amejaa midevu tele. Na kuna midume ile inayocheza WWE, mbona wanazo mwambieni aache kujistukia. Allqaida wakigundua kigezo cha kugungundurika ni kuacha ndevu si watanyoa tu.
 
Jf inataka kujaa mandondo vitu vya kijinga kama hivi admin hakuna filter kweli?
 
Back
Top Bottom