Ben Pol anyoa ndevu kuogopa kuitwa Al-Qaeda na Wamarekani

Ben Pol anyoa ndevu kuogopa kuitwa Al-Qaeda na Wamarekani

Añatafuta kiki, mbona Rick Rose hajaitwa Alqaida? Bob Marley Senzo nawengine wengi hawajawahi kuzulu US? Upuuuuuuuzzzz
 
Naona comment zote zinalalamikia wanaume wa dar ila inaonyesha wanaume wa mikoani huko ndio wanaongoza kusoma hii thread sasa sijui hamna kazi au mnapenda kukaa nyuma ya tecno zenu kutafuta nin wanaume wa dar wamefanya...
Si dalili nzuri kwa wanaume wa mikoani mnaosifia mwanamke kupambana na jambazi ilihali nyie mmejifungia ndani..
 
Back
Top Bottom