Ben Pol anyoa ndevu kuogopa kuitwa Al-Qaeda na Wamarekani

Anataka tujue yupo US hana lolote, Rick ross ana midevu na ni Raia wa huko huko
 
Jinga kabisa, huna cha kupost kaa kimya
 
kuna mwanamke mmoja tarime alipambana na majambazi pekee yake, sina uhakika kama wanaume wa dar wanaliweza hili.
Mlete hapa mwanamme wa huko kwenu unyanini, aliepambana na majambazi, hata kwa kusaidiwa na wenzie.
 
Kwaiyo umekaa kabsa nyuma ya keyboard (au sijuwi ni kitecno) na kutumia muda wako kuandika siredi kuhusu ndevu za uyo Bena Poll ? Kwanza ndo nani uyo?

Ama kweli 'wanaume wa Dar Slum' mna matatizo, sio bure aisee. Huwa sishangai napoona mwanaume wa Dar anajadili DNA ya mtoto wa Diamond.

Hovyo kabsaaa!
 
Hahaaa ndio Vijana hao
 
kuna mwanamke mmoja tarime alipambana na majambazi pekee yake, sina uhakika kama wanaume wa dar wanaliweza hili.
Askari wa dar wenyewe wananyanganywa bunduki.. Hujasikia? Hata juzi dodoma kuna askari alitoka dar akahamishiwa dodoma wajanja wakabeba bunduki
 
Wanaume wa Dar watakomaje sasa, bora sisi wa Kinegembasi
 
Hapa nawe mbona umepoteza muda ku coment mada dhaifu.
 
haahahaahaaa... kazi kweli.
 
Khaaa wanaume wa Dar vichefuchefu... Kesho wataleta mada ya kucha kupakwa rangi..

Wanaume wa Dar nyoronyoro..aibu tupu..
 
wanaume wa rorya tunawacheki tuu tupo mbioni kutoa tamko sasa...
 
kuna mwanamke mmoja tarime alipambana na majambazi pekee yake, sina uhakika kama wanaume wa dar wanaliweza hili.
Hizi dharau hizi ......!!!!!!!!!!!!

Mods mpeni ban huyu hajui kuwa kati ya wanaume wa dar na moderators wapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…