Naona comment zote zinalalamikia wanaume wa dar ila inaonyesha wanaume wa mikoani huko ndio wanaongoza kusoma hii thread sasa sijui hamna kazi au mnapenda kukaa nyuma ya tecno zenu kutafuta nin wanaume wa dar wamefanya...
Si dalili nzuri kwa wanaume wa mikoani mnaosifia mwanamke kupambana na jambazi ilihali nyie mmejifungia ndani..