Kwanza hata ukitokewa na Domo utahisi kudhalilishwa. Utajiuliza hivi huyu ananichukuliaje mimi. Kuna wanaume wana pesa na maarufu lakini mwanamke unajua kabisa hii takataka stahiki yake ni wanawake wasiojielewa kama kina Mobeito, Sepetunga
Ah ah ah poa mkuu..Rooney, unaweza kudhani kama utani diamond kukaza wanawake wote pasi na shida yoyote ila ndio uhalisia.
Makapuku hawa wote anamega pruuu wote kama huyu warumi anakaza mpaka jicho, wale angalau wenye pesa nao anakaza wanataka umaarufu fulani kujulikana, kuzungumziwa n.k
Narudia tena hakuna wakumkataa si kwa sababu ana sura nzuri au mbaya bali umaarufu wake na pesa zake
Wewe jamaa story zako za kutunga tunga uongo uongo kuanzia kwenye soccer mpaka kwa wasaniiHarmonize ana pesa kumzidi anerlisa hili halina ubishi sasa labda anamtaka ili aoshe rungu tu ama ni kiki inatengenezwa harmonize na Ben paul ni washikaji sanaaaa.
Alafu khaligraphy jones sizani kama anaweza fanya hivyo hii nahisi ni kiki.
Ila huyu andunje shetta nina mashaka nae anaweza kuwa kamtaka kweli
BTW Ben paul kapotea kwenye game hakuna anaemzungumzia hana lolote sasa hivi hii nahisi ni KIKI
Kosoa kwa hoja sio unaniambia natunga wakati nikikwambia lete ambazo si za kutunga huna.Wewe jamaa story zako za kutunga tunga uongo uongo kuanzia kwenye soccer mpaka kwa wasanii
Halafu kaka punguza kutudanganya.Unachekesha kumiliki kiwanda cha kutengeneza maji hata si gharama ndugu mtanzagiza.
shinyanga kuna viwanda vya kutengeneza maji vingi mno ukiachilia mbali sayona, Mwanza ndio hadi kero je hao nao ni matajiri kumbuka wanauza TZ nzima acha masikhara acha utoto kwenyd majambo kama haya.
Harmonize haishi kwa sara, Sara anaishi kwa harmonize, Sara ana apartment Zanzibar ya kukodi na si Dar
Yani hyo one billion unayoitaja ya kitanzania mwenzio anaipokea ya kikenya asa sijui ipi kubwaMkuu umewapangua kisawa sawa, wabongo huwa tunapenda kushushana tuu, harmonize ana mpunga mrefu sana kwa sasa aisee, siwezi jua networth ya Huyo anelisa na huenda ana networth kubwa, issue inakuja amezipataje, mbali na miradi aliyo nayo huyo manzi ila kwa sasa konde boy anaingiza pesa ndefu kumzidi Huyo mrembo......Mtu analipwa karbia one billion for a single hit song na youtube, out of show, advertisement n.k....
Hao ni umaarufu sanasana kuna watu wametulia hawana umaarufu lakini hugusi pesa zao.Kosoa kwa hoja sio unaniambia natunga wakati nikikwambia lete ambazo si za kutunga huna.
Muziki, Soka, na dini hapa utachemka navijua kuliko unavyozani
Yesu wangu dogo rudi shule ukasome, achana na hizi mbanga huzijui bado mdogo sana wewe.Hao ni umaarufu sanasana kuna watu wametulia hawana umaarufu lakini hugusi pesa zao.
Asa huyu Harmonize ana net worth ya $ 1 million umfananishe na Anerlisa mwenye net worth ya $1 billion.?
Harmonize si kapitwa ht na dem wangu wa kimahara nilietemana nae aliyeachiwa net worth ya $ 5 million na wazazi wake?!
Asee kaka punguza chai za kihindi kidogo
Pumbavu!Halafu kaka punguza kutudanganya.
We huyu Anerlisa ana net worth inayokaribia $ 1 billion.
Na ana viwanda vyake vya vinywaji tofaut na nguv za wazaz wake.
Umfananishe na Harmonize mwenye net worth ya $ 1 million.
Acha kuzingua wewee.
Harmonize ni umaarufu tu na labda richest kid kwa wasaniii wenzake sio kwa watu wote EA Harmonize hawez mfikia Anerlisa kwa fact zifuatazo.
Anerlisa akifanya mauzo anafanya kwa kenyan shilling ambayo ina thaman kuliko tz shillings.
Anerlisa anafanya biashara ambayo daily watu wana consume sio km Harmonize mpka akafanye show.
Na hao kina sayona unaowataja kimazabe wanamiliki mpunga harmonize haugusi.
Umesoma engineering kaka pengine hujui mzunguko wa biashara ukoje.
Usimfananishe Anerlisa aliyetajwa kuwa miongoni mwa richest young ladies Africa kiujumla na huyo harmonize anayeongoza kwa wanamuziki tuu utaumia kaka.
Asa dola billion moja na dola million moja ya harmonize ipi kubwa
Wewe jamaa mshamba sana..!We jamaa ni muongo wewe, hivi unajua East Africa ni Kenya, Uganda na Tanzania.....
Huyu mmakonde ambaye hata nyumba yake haijaisha unataka umuweke meza moja na akina Jaguar...
Alaf Harmonize naye ajiheshimu bama, hivi kwa sura ile kama andazi lililo chacha ndo anataka aingie meza moja na Ben Pol. Saiz yake ni huyohuyo Sarah wanyefanana sura
Chief,mbona hii chai kama ya moto sana..!Halafu kaka punguza kutudanganya.
We huyu Anerlisa ana net worth inayokaribia $ 1 billion.
Na ana viwanda vyake vya vinywaji tofaut na nguv za wazaz wake.
Umfananishe na Harmonize mwenye net worth ya $ 1 million.
Acha kuzingua wewee.
Harmonize ni umaarufu tu na labda richest kid kwa wasaniii wenzake sio kwa watu wote EA Harmonize hawez mfikia Anerlisa kwa fact zifuatazo.
Anerlisa akifanya mauzo anafanya kwa kenyan shilling ambayo ina thaman kuliko tz shillings.
Anerlisa anafanya biashara ambayo daily watu wana consume sio km Harmonize mpka akafanye show.
Na hao kina sayona unaowataja kimazabe wanamiliki mpunga harmonize haugusi.
Umesoma engineering kaka pengine hujui mzunguko wa biashara ukoje.
Usimfananishe Anerlisa aliyetajwa kuwa miongoni mwa richest young ladies Africa kiujumla na huyo harmonize anayeongoza kwa wanamuziki tuu utaumia kaka.
Asa dola billion moja na dola million moja ya harmonize ipi kubwa
Mh $ 1 bil mzee?Halafu kaka punguza kutudanganya.

Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo. Kujenga hoja huwezi unaishia kutukanana na wanawake. Huna tofauti na huyo unayemtetea.. Stahiki zenu nihao ke niliowataja.. ndio mnaendana na watandale nyieMsenge wewe
Mpee mama ako mmakonde ule uone atakavyo muuuuuuuWe jamaa ni muongo wewe, hivi unajua East Africa ni Kenya, Uganda na Tanzania.....
Huyu mmakonde ambaye hata nyumba yake haijaisha unataka umuweke meza moja na akina Jaguar...
Alaf Harmonize naye ajiheshimu bama, hivi kwa sura ile kama andazi lililo chacha ndo anataka aingie meza moja na Ben Pol. Saiz yake ni huyohuyo Sarah wanyefanana sura
Mh $ 1 bil mzee?