Ben Pol: Harmonize, Sheta na Caligraph Jones wanamtongoza mpenzi wangu DM

Mo dewji anakimbilia 2 billions mkuu.
Japokuwa hajafikia..
Halafu kina Mo dewji na Bakhresa wale utajiri walio nao ni wa Africa tuu mkuu bado wa India na huko uarabuni wamewekeza pia.
Kwahyo usidhan 1Bil $ ya mo ni utajir wake mzima asee bado india huko kawekeza na. Uarabuni halkadhalika Bakhresa.
Mfano manji watu wanadhani ana quality center tyu peke ake kumbe ana 129 companies in approximately 29 nations mkuu.
Hiyo sio chai ingia mtandaoni watakupa majibu.
Kingine Anerlisa anachukua hela kwa ksh ambayo ina thamani kutuzid harmonize kwa tsh nadhani hapo umepata jibu
Chief,mbona hii chai kama ya moto sana..!
Inamaana huyo manzi anakula sahani moja na Mo Dewji..!?
Utajiri wa Bakhresa ni chamtoto tu kwa huyo manzi..!?
 
Mkuu kusoma unajua nadhani.
Approximately 1 billion sio exactly 1 billion.
Mm sio mtoto kiasi hicho
Yesu wangu dogo rudi shule ukasome, achana na hizi mbanga huzijui bado mdogo sana wewe.

Mo dewji ana utajili wa dola 1.2 billion dollars na ni miongoni mwa matajiri kumi wa Africa acha kabisa utoto narudia ACHA
 
Inaelekea mkuu hujui biashara inaendeshwajwe.
Sanaa inawafikia watu wa demand chache kuliko biashara mkuu.
Biashara ni km maji hususan ya vyakula usipokula utakunywa kama usipokunywa maji utakunywa juice ama utanunua ngano ama sembe mzee must daily.
 
Du basi yupo vizuri...level za kina bakhresa...lakini ni yeye au wazazi wake? Kiafrika afrika mtu wa umri ule kutoboa namna hiyo waga ngumu..
 
Du basi yupo vizuri...level za kina bakhresa...lakini ni yeye au wazazi wake? Kiafrika afrika mtu wa umri ule kutoboa namna hiyo waga ngumu..
Kina Bakhresa na Mo dewji wale wana utajiri Africa na nje ya Africa mkuuu usidhan hzo 1 billion $ za hp Africa ndio utajiri wao mzima nop huko kwao kwa shombeshombe wenzao wamewekeza pia.
Mfano manji hadi india kawekeza sio tz tyuu wale sio level zetyu
 
Hujathibitisha mkuu,kuwa harmo Ni zaid ya Anerlisa kwa mawe.umeongea hisia zako.Nilitarajia useme wana keshi kiasi gani,au wanamiliki assets gani,ndio ulinganishe.
 
Jukumu la kwanza la mwanamme ni kutongoza so mwanamke kama yuko serious na ben paul atawakataa hawa jamaa kinyume na hapo mwanamme halaumiwi kwa akili mbovu ya mwanamke
 
Kwa mwanamke kutongozwa ni kawaida ila hao kina hamonaiza kama wangemtongoza ben pol ndio ningeshangaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…