Ben pol kauanza mwaka na hii ngoma

Ben pol kauanza mwaka na hii ngoma

Aisee mmefanya hata hamu kuisikiliza imeisha ngoja ntaisikiliza baada ya wiki moja kupita.
 
kuna brand new ya sam wa ukweli inaitwa kisiki...ikooo vzr
 
hawa wapopo wanawaharibia mziki....maana tunakua tunatarajia makubwa kumbe kawaida..
matokeo yake mziki unabuma
 
Ninawasiwasi huyu mr. Eazi atamtoa Tekno kwenye chati maana nyimbo zake tamu balaa pia zinapigwa TV mbalimbali , namkubali sana na style yake ya kuweka kofia mgongoni
Am sorry to say this. Wenzetu hawako hivyo, kama wote wanauwezo watakua juu tu na sio lazima mmoja amtoe mwingine kwenyd chart.
 
huyo Mr eaz n nani
msanii wa nigeria sema makazi yke yalikuwa ghana yupo chini ya lebel ya "starboy worldwide" inayomilikwa na wiz kid
Mr eazy "life is eazy"
124261af37dfeb52ba78bdf94edee9a2.jpg
 
Thats gud song..hongera ben its ur new outlook...
 
Back
Top Bottom