Ben Pol kufunga ndoa hivi karibuni na Anerlisa

Na huyo mama Tabitha Kiranja bilionea uliye mchomekea hapo ni nani kwa Ben Paulo?
 
Kwa maana hiyo Ben pol kaolewa kama nimeyaelewa vizuri maelezo yako
 

jamaa ni mari 0 sana hanapenda maisha ya rahaa sana,hata demu wa kwanza alikuwa na vijipesa sema mademu wanashobokea wasanii sijui kwa nini.baada ya pesa kuisha kasepa na huyu mkenya asipo angalia yatamkuta
 
Mapenzi hayachagui tajiri au masikini, cha msingi uwe na gogo 🍆 na ujue kulitumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…