Ben Pol kufunga ndoa hivi karibuni na Anerlisa

Ben Pol kufunga ndoa hivi karibuni na Anerlisa

Msanii wa Bongo fleva Ben Pol amemchumbia binti wa kitajiri wa Kenya Anerlisa Muigai na anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni taratibu za awali Tayari zimeshaanza

Kuhakikisha Hilo Ben Pol amehama uswahili na amepangiwa Nyumba nzuri Mbezi Beach maana familia ya binti inatarajiwa kuja Tanzania hivi karibuni.
It
Anerlisa ambae Ni CEO wa kiwanda Cha maji huku mama Tabitha Kiranja Bilionea namba 4 kwa wanawake nchini Kenya akiwa CEO wa kiwanda Cha Bia.

Ben Pol anatarajia kufanya shughuli zake za mziki Muda mwingi akiwa Kenya Baada ya ndoa

View attachment 1080784
Nani anaeoa katika hao wawili?
 
Back
Top Bottom