Ben Pol kumgaragaza vibaya King Kiba Eatv Awards....

Moyo mashine ni mashine kweli.... King Kiba halambi kitu hapo.

Samahani,, ndo ukweli.

Go Go Go Go vote guys. Ben Pol Moyo Mashine.

[HASHTAG]#povuu[/HASHTAG]
Huu ndio ukweli,kwamba anastahili Ben pol hizo tuzo,lakini yule nani dullah na Sam Misago hawawezi kukubali msanii wao kibakuli wasimpe tuzo.
 
Huu ndio ukweli,kwamba anastahili Ben pol hizo tuzo,lakini yule nani dullah na Sam Misago hawawezi kukubali msanii wao kibakuli wasimpe tuzo.
nikikuuliza kwa nn humpendi kiba hvyo..utanijibu?!!
samahani lakini...
 
Huu ndio ukweli,kwamba anastahili Ben pol hizo tuzo,lakini yule nani dullah na Sam Misago hawawezi kukubali msanii wao kibakuli wasimpe tuzo.
Really........!!!!???
 
Kuna watu ni HATER lakini hawaweki wazi[emoji115][emoji125][emoji125][emoji125]
 
WCB hawapo kwasababu hawakuchukua form, tuzo za muziki ni lazma ujaze form then wanapima kama unafaa na uwekwe kwenye category gani
 
nikikuuliza kwa nn humpendi kiba hvyo..utanijibu?!!
samahani lakini...
Siwezi kumchukia mtu nisiyemlisha mimi wala haniathiri kwa namna yoyote ktk maisha yangu,ila kwenye hizo tuzo hayo ndio maono yangu,na wewe toa yako.
 
Siwezi kumchukia mtu nisiyemlisha mimi wala haniathiri kwa namna yoyote ktk maisha yangu,ila kwenye hizo tuzo hayo ndio maono yangu,na wewe toa yako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ungelijua hilo usingekua unaponda kila anachokifanya

pole sana kaka..
una chuki mbaya mnoo!!

yaani daaahh!!
envy ya hali ya juu!
huna cha maoni wala ushauri Ila punguza chuki kwa mtu usiyemjua..wala asiyekujua wala hatokaaa akujue ht kwa bahatu mbaya

Sisi sote ni wanadamu!
 
Mbona povu vipi ....... huyo kibakuli wako anajua sana kwako wewe,ila kwangu mimi hata RAYVANNY ni zaidi. ( haya endelea kutokwa na mapovu,maana nimekuelezea naona umepotezea hoja zangu.)
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha chuki
pyeeee...
mna hila nyie....!!
Mbona povu vipi ....... huyo kibakuli wako anajua sana kwako wewe,ila kwangu mimi hata RAYVANNY ni zaidi. ( haya endelea kutokwa na mapovu,maana nimekuelezea naona umepotezea hoja zangu.)
 
Kiba kabeba tuzo mbili tena za BEFFTA UINGEREZA huko nyie endeleen kuponda tu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha chuki
pyeeee...
mna hila nyie....!!
Simchukii na wala sitarajii kumchukia,ila ukweli ni kwamba tabia zake za kila AKISHINDWA MAMBO YAKE ANAWAHUSISHA WCB,mimi ndio anaponikera,ifike mahali apambane na muziki wake,sio anapambana na mtu,ndio maana kila akikutana na kikwazo ktk kazi zake basi sababu ni WCB.
 
Kama kigezo itakuwa ni kura nyingi, basi kwa Tanzania hii hakuna msanii mwenye wapiga kura wengi kama Alikiba.
**Moyo mashine ni nyimbo nzuri sana inayostahili tunzo mwaka huu na 2016/2017.
 
Kiba kabeba tuzo mbili tena za BEFFTA UINGEREZA huko nyie endeleen kuponda tu
Tuzo akichukua jamaa yao ndio tuzo ila kiba sio hahahaha
 
Attachments

  • 1480956492099.png
    98 KB · Views: 54
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…