Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
hakutaka yy mwenyewe bwana!Inashangaza...... labda ndo zile team zetu nchini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakutaka yy mwenyewe bwana!Inashangaza...... labda ndo zile team zetu nchini??
yaapHuenda hawakuchukua form. May be!
Huu ndio ukweli,kwamba anastahili Ben pol hizo tuzo,lakini yule nani dullah na Sam Misago hawawezi kukubali msanii wao kibakuli wasimpe tuzo.![]()
Moyo mashine ni mashine kweli.... King Kiba halambi kitu hapo.
Samahani,, ndo ukweli.
Go Go Go Go vote guys. Ben Pol Moyo Mashine.
[HASHTAG]#povuu[/HASHTAG]
nikikuuliza kwa nn humpendi kiba hvyo..utanijibu?!!Huu ndio ukweli,kwamba anastahili Ben pol hizo tuzo,lakini yule nani dullah na Sam Misago hawawezi kukubali msanii wao kibakuli wasimpe tuzo.
Really........!!!!???Huu ndio ukweli,kwamba anastahili Ben pol hizo tuzo,lakini yule nani dullah na Sam Misago hawawezi kukubali msanii wao kibakuli wasimpe tuzo.
nn tena?Dah aisee
Siwezi kumchukia mtu nisiyemlisha mimi wala haniathiri kwa namna yoyote ktk maisha yangu,ila kwenye hizo tuzo hayo ndio maono yangu,na wewe toa yako.nikikuuliza kwa nn humpendi kiba hvyo..utanijibu?!!
samahani lakini...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ungelijua hilo usingekua unaponda kila anachokifanyaSiwezi kumchukia mtu nisiyemlisha mimi wala haniathiri kwa namna yoyote ktk maisha yangu,ila kwenye hizo tuzo hayo ndio maono yangu,na wewe toa yako.
Mbona povu vipi ....... huyo kibakuli wako anajua sana kwako wewe,ila kwangu mimi hata RAYVANNY ni zaidi. ( haya endelea kutokwa na mapovu,maana nimekuelezea naona umepotezea hoja zangu.)[emoji23] [emoji23] [emoji23] ungelijua hilo usingekua unaponda kila anachokifanya
pole sana kaka..
una chuki mbaya mnoo!!
yaani daaahh!!
envy ya hali ya juu!
huna cha maoni wala ushauri Ila punguza chuki kwa mtu usiyemjua..wala asiyekujua wala hatokaaa akujue ht kwa bahatu mbaya
Sisi sote ni wanadamu!
Mbona povu vipi ....... huyo kibakuli wako anajua sana kwako wewe,ila kwangu mimi hata RAYVANNY ni zaidi. ( haya endelea kutokwa na mapovu,maana nimekuelezea naona umepotezea hoja zangu.)
Simchukii na wala sitarajii kumchukia,ila ukweli ni kwamba tabia zake za kila AKISHINDWA MAMBO YAKE ANAWAHUSISHA WCB,mimi ndio anaponikera,ifike mahali apambane na muziki wake,sio anapambana na mtu,ndio maana kila akikutana na kikwazo ktk kazi zake basi sababu ni WCB.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha chuki
pyeeee...
mna hila nyie....!!
Tuzo akichukua jamaa yao ndio tuzo ila kiba sio hahahahaKiba kabeba tuzo mbili tena za BEFFTA UINGEREZA huko nyie endeleen kuponda tu
Povu hili [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii sasa ndio saizi ya KIBALAZA sw kabisa
Kamuulize Star boy alilala na viatuHii sasa ndio saizi ya KIBALAZA sw kabisa