Ben Pol: Nilichokilenga kimefanikiwa

ngoja waje team [HASHTAG]#maadili[/HASHTAG] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Heheeeeee yeye ndio mshamba, hadi leo hajazoea tu kuwa kila kitu kuna watakaofurahi na watakaomponda, sio Tanzania tu ni duniani kote
Aache ushamba
Binadamu ndio walivyo
Hayo mabadiliko anayotaka hayatatokea kamwe
 
Heheeeeee yeye ndio mshamba, hadi leo hajazoea tu kuwa kila kitu kuna watakaofurahi na watakaomponda, sio Tanzania tu ni duniani kote
Aache ushamba
Binadamu ndio walivyo
Hayo mabadiliko anayotaka hayatatokea kamwe
nani kasema hayatokei
Ile msg ilihusu suala la utekaji ila wabongo weng wakitafsir vbaya
 
Hizi picha nyingine zinaharibu swaumu jamani..hebu kuweni wastaarabu..mwezi wote huu mnasambaza makalio ya watu?
 
aliyempaka ben mafuta ya m@t@ko ni nani??
 
Picha ina tafsiri kubwa. Lengo Lake halikuwa ushoga. Wachache sana walimwelewa.
Ni kwel picha ilikua na tafsir kubwa lakn kumbuka lengo la kutoa zile picha alizingatuliza kusafisha njia ya wimbo ili kutengeneza mazingira,,,,then connect wimbo na picha hakuna uhusiano,,,,,,muzik ngum this time labda anatafuta mbadala
 
Tunataka kujua aliempaka mafuta na kumfunga kitambaa uusoni alikua na mana gani..kisha kumtenga juu ya kiti
 
Picha ina tafsiri kubwa. Lengo Lake halikuwa ushoga. Wachache sana walimwelewa.
Kuna watu wameajiliwa katika vitengo vya propaganda na ku-dilute ishu yeyote inayoweza kuwakwaza wafalme, kwa hii picha watakua wameelewa Ben Pal kamaanisha nini ila kuipunguza makali ni kuihusisha na ushoga, japo kwa mtu makini hapo ni vigumu sana kuihusisha na ushoga
 
Tatizo ni kufanya kitu "tata" halafu uanze kuwaaminisha watu kwamba ujumbe "hauna utata".

Kwani angekuwa kavaa shati kisha kafungwa kamba tusingeelewa..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…