Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wana nini hao wanaojifanya team maadili? wanafki wakubwangoja waje team [HASHTAG]#maadili[/HASHTAG] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
ushoga upi pale kwenye ile picha hivi wabongo mbona washamba hivi?Atakama ni ushabiki ila mtu akipost ushoga lazima aambiwe
nani kasema hayatokeiHeheeeeee yeye ndio mshamba, hadi leo hajazoea tu kuwa kila kitu kuna watakaofurahi na watakaomponda, sio Tanzania tu ni duniani kote
Aache ushamba
Binadamu ndio walivyo
Hayo mabadiliko anayotaka hayatatokea kamwe
Insha kwani hapa ni darasani msg sentAcha upumbavu,unaandika pumba alafh unakimbilia kusema wenye povu watoe,rudi shule jifunze namna ya kupangilia insha.
Hahahah.....Insha kwani hapa ni darasani msg sent
Ni kwel picha ilikua na tafsir kubwa lakn kumbuka lengo la kutoa zile picha alizingatuliza kusafisha njia ya wimbo ili kutengeneza mazingira,,,,then connect wimbo na picha hakuna uhusiano,,,,,,muzik ngum this time labda anatafuta mbadalaPicha ina tafsiri kubwa. Lengo Lake halikuwa ushoga. Wachache sana walimwelewa.
Nadhani atakua in Sofia Sofiaaliyempaka ben mafuta ya m@t@ko ni nani??
Kuna watu wameajiliwa katika vitengo vya propaganda na ku-dilute ishu yeyote inayoweza kuwakwaza wafalme, kwa hii picha watakua wameelewa Ben Pal kamaanisha nini ila kuipunguza makali ni kuihusisha na ushoga, japo kwa mtu makini hapo ni vigumu sana kuihusisha na ushogaPicha ina tafsiri kubwa. Lengo Lake halikuwa ushoga. Wachache sana walimwelewa.