Bado hujaeleweka kijana hit the target. Ben pol anataka kueleza nn hicho ndicho kinachotufanya tujiulize maswali. Kuvua nguo na kujipaka mafuta what does he intended. Logic ni nn hapo. Hatumuelewi anataka tupate meseji gani?Watz ss ni wanafki sana baadhi yenu
Yaani kuna mijitu mishamba na milimbukeni sanaa
Mziki ni mabadiliko na maisha yanabadilika
Baada ya ben pol kuachia picha ile akiwa amefungwa kamba watu mlitokwa na mapovuu sana,nimegundua wengi hamjielewi na mambumbumbu wa kuelewa
Picha ya ben pol ilikua na ujumbe kwa jamii ila wengi wetu ni wavivu wa fikra tena maskini wa maarifa.
Ben pol nakusapot mara milioni upo juu sana na ndo mziki unapaswa uwe sio kila siku unafiki tu, mziki unapaswa uchange uendane na dunia ya leo ya kidigital
Ben pol ametoa good msg kwa jamii yetu na yanayoendelea tz
It is a time for change
Wabongo hatuendelei kwassbb hatutaki kubadilika
[HASHTAG]#Mapovu[/HASHTAG] ruksa ila yasiwe ya sabuni ya mkopo
Hebu uliyeelewa tusaidie hapoPicha ina tafsiri kubwa. Lengo Lake halikuwa ushoga. Wachache sana walimwelewa.
Mkuu hakujipaka hiyo samli mwenyewe bali kapakwa,na shida kubwa ni nani aliempaka? Au ni mtoa uzi?Bado hujaeleweka kijana hit the target. Ben pol anataka kueleza nn hicho ndicho kinachotufanya tujiulize maswali. Kuvua nguo na kujipaka mafuta what does he intended. Logic ni nn hapo. Hatumuelewi anataka tupate meseji gani?
Anaweza akadhani atapata mashabiki wengi badala yake akawapoteza. Wasanii wengi tulionao ipo shida upstairsMkuu hakujipaka hiyo samli mwenyewe bali kapakwa,na shida kubwa ni nani aliempaka? Au ni mtoa uzi?
Au fally ipupa kampaka maana nchi yao kule ushoga ruksa kabisaMkuu hakujipaka hiyo samli mwenyewe bali kapakwa,na shida kubwa ni nani aliempaka? Au ni mtoa uzi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti mleta uziMkuu hakujipaka hiyo samli mwenyewe bali kapakwa,na shida kubwa ni nani aliempaka? Au ni mtoa uzi?
zinaharibu vp fafanuaHizi picha nyingine zinaharibu swaumu jamani..hebu kuweni wastaarabu..mwezi wote huu mnasambaza makalio ya watu?
kabisa mkuuPicha ina tafsiri kubwa. Lengo Lake halikuwa ushoga. Wachache sana walimwelewa.
kweli ww old fashionNaisi hatakuwa analiwa kiboga mana kashazoea kuwavulia wanaume wenzie nguo ivi kweli mtoto wa kiume unaweza mwonyeshea mwanaume mwenzio tako afu lipo oiled
ukishajua itakusaidia nnaliyempaka ben mafuta ya m@t@ko ni nani??
lakini wengi hawakumuelewaNi kwel picha ilikua na tafsir kubwa lakn kumbuka lengo la kutoa zile picha alizingatuliza kusafisha njia ya wimbo ili kutengeneza mazingira,,,,then connect wimbo na picha hakuna uhusiano,,,,,,muzik ngum this time labda anatafuta mbadala
sasa ukishajua atakusaidia nn?Tunataka kujua aliempaka mafuta na kumfunga kitambaa uusoni alikua na mana gani..kisha kumtenga juu ya kiti
akina nyieJamii ni akina nani?
well saidKuna watu wameajiliwa katika vitengo vya propaganda na ku-dilute ishu yeyote inayoweza kuwakwaza wafalme, kwa hii picha watakua wameelewa Ben Pal kamaanisha nini ila kuipunguza makali ni kuihusisha na ushoga, japo kwa mtu makini hapo ni vigumu sana kuihusisha na ushoga
sio lazima kuvaa shati mshakariri maishaTatizo ni kufanya kitu "tata" halafu uanze kuwaaminisha watu kwamba ujumbe "hauna utata".
Kwani angekuwa kavaa shati kisha kafungwa kamba tusingeelewa..??
so whatAliyemfunga kitambaa ni nani
kwani nimelazimisha uelewe?Usilazimishe kila mmoja atafsiri unavyotaka wewe.