Ben Pol: Nilichokilenga kimefanikiwa

Ben Pol: Nilichokilenga kimefanikiwa

Watz ss ni wanafki sana baadhi yenu
Yaani kuna mijitu mishamba na milimbukeni sanaa
Mziki ni mabadiliko na maisha yanabadilika
Baada ya ben pol kuachia picha ile akiwa amefungwa kamba watu mlitokwa na mapovuu sana,nimegundua wengi hamjielewi na mambumbumbu wa kuelewa
Picha ya ben pol ilikua na ujumbe kwa jamii ila wengi wetu ni wavivu wa fikra tena maskini wa maarifa.
Ben pol nakusapot mara milioni upo juu sana na ndo mziki unapaswa uwe sio kila siku unafiki tu, mziki unapaswa uchange uendane na dunia ya leo ya kidigital
6116908f328741257726dcb041e9865e.jpg

Ben pol ametoa good msg kwa jamii yetu na yanayoendelea tz
It is a time for change
Wabongo hatuendelei kwassbb hatutaki kubadilika
[HASHTAG]#Mapovu[/HASHTAG] ruksa ila yasiwe ya sabuni ya mkopo
Bado hujaeleweka kijana hit the target. Ben pol anataka kueleza nn hicho ndicho kinachotufanya tujiulize maswali. Kuvua nguo na kujipaka mafuta what does he intended. Logic ni nn hapo. Hatumuelewi anataka tupate meseji gani?
 
Bado hujaeleweka kijana hit the target. Ben pol anataka kueleza nn hicho ndicho kinachotufanya tujiulize maswali. Kuvua nguo na kujipaka mafuta what does he intended. Logic ni nn hapo. Hatumuelewi anataka tupate meseji gani?
Mkuu hakujipaka hiyo samli mwenyewe bali kapakwa,na shida kubwa ni nani aliempaka? Au ni mtoa uzi?
 
Huyu jamaa anaonekana kuja na biashara mpya ambayo ni ushoga .
Ben Paul ukowapi tuambie aliyekupaka mafuta kwenye makalio ili tumuulize lengo lake lilikuwa nn na pia tunataka kujua kama hajakudhuru ama amekudhuru kwa kiasi kiasi gani .
Ben po ww tuambie men usione soo maana umeonesha kuuzoea huo mchezo.
 
Ni kwel picha ilikua na tafsir kubwa lakn kumbuka lengo la kutoa zile picha alizingatuliza kusafisha njia ya wimbo ili kutengeneza mazingira,,,,then connect wimbo na picha hakuna uhusiano,,,,,,muzik ngum this time labda anatafuta mbadala
lakini wengi hawakumuelewa
 
Kuna watu wameajiliwa katika vitengo vya propaganda na ku-dilute ishu yeyote inayoweza kuwakwaza wafalme, kwa hii picha watakua wameelewa Ben Pal kamaanisha nini ila kuipunguza makali ni kuihusisha na ushoga, japo kwa mtu makini hapo ni vigumu sana kuihusisha na ushoga
well said
 
Back
Top Bottom