Ben Pol, vipi tena kijana huyu?

Ben Pol, vipi tena kijana huyu?

Kaparo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2013
Posts
2,072
Reaction score
5,053
Mavazi haya ya kibongofleva mbona yanaelekea pepo za kusi.
Anyway namngoja ageuke.

1475562526756.jpg
 
Nitoke vp anahisi kachokwa na suti zake kila siku
 
haahahahah hivi wanaume hao wamevaa sketi??!!!!!
 
Anatafuta kick kama child benz kutoga pua kama Diamond kusheherekea bd kwa boxer tu booooongoooo land
 
Back
Top Bottom