Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haters ndio wanaosababisha dunia izunguke, kwo ni muhimu sana katika maisha yetuYani kama ulikua kichwa kwangu mkuu.
Ila mwisho wa siku BenPol anapiga hela wakati nyie mnadisi (problem?)
Haters ndio wanaosababisha dunia izunguke, kwo ni muhimu sana katika maisha yetu
Then Life is goes On.Point alafu nimekuja kugundua yani mtu atahate tu kwa saabu yani saa ingine aezi afford au hana uezo wako.
Snura alisema anampenda sana dogo amuoe eti dogo hana kibamia, ila dogo amekamatia dini ya kikristo dizain flani so mossion impossible.
sio kwa upuuzi huu wa kuiga tamaduni za kifalaThen Life is goes On.
Unajua Sisi binadamu watu waajabu sana,
Yaani eti kisa flani ni star basi tunataka aishi vile tunataka sisi,
Wakati huo sisi hakuna mtu anaetupangia jinsi ya kuishi.
Mmh Ndo tulivyo
Hata ukionyesha uwezo wakutembea juu ya Maji bado tu watasema Hujui kuogelea ndiomaana Unatembea juu ya Maji
Anyway Ben ameshaingiza mkwanja, Tuachane na hizo habarisio kwa upuuzi huu wa kuiga tamaduni za kifala