Ben Pol, vipi tena kijana huyu?

Naskia Sketi Za Kiume Zimeingiaa Ndo Zinatangazwa Dunia Ya Mwendo Kasiiiii
 
Alafu ukimuomba mtandao pendwa nae atakupeleka mahakamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] homophobia ni hatari Sana sijui nn kimemkuta huyu jamaa kama vile hajakulia tz bhana, sipati picha alikuwa anajihisi vipi ndani ya hilo vazi au alifanya mazoezi ya kulizoea maana[emoji777] [emoji777] big noooo
 
Sophia, Sophia, NIKUPELEKEE NA MVUMII!!

sasa tuone Sophia atampeleka kwa watu wauaji , imani potofu, (wanywa damu)
 
kupatwa kwa jinsia ya kike
 
Realy men wear skirts.....?aah wapi,,,,,, mambo mengine hayafai kuigwa.....hizo tamaduni zingine tuwaachiage wenyewe
Mbona vijana tunakua malimbukeni sana na haya mambo
Na ipo siku watasema real men amashiriki ushoga,,,,,
 
Japokuwa huo sio utamaduni wetu,
Ben hata ungevaa shuka la kimasai bado wangesema umevaa kanga..
Binadamu ndo tilivyo
Hata ukichezea maji watasema unawatimulia vumbi

Yani kama ulikua kichwa kwangu mkuu.
Ila mwisho wa siku BenPol anapiga hela wakati nyie mnadisi (problem?)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…