Ben Pol, vipi tena kijana huyu?

Yani kama ulikua kichwa kwangu mkuu.
Ila mwisho wa siku BenPol anapiga hela wakati nyie mnadisi (problem?)
Haters ndio wanaosababisha dunia izunguke, kwo ni muhimu sana katika maisha yetu
 
Haters ndio wanaosababisha dunia izunguke, kwo ni muhimu sana katika maisha yetu

Point alafu nimekuja kugundua yani mtu atahate tu kwa saabu yani saa ingine aezi afford au hana uezo wako.
 
Point alafu nimekuja kugundua yani mtu atahate tu kwa saabu yani saa ingine aezi afford au hana uezo wako.
Then Life is goes On.
Unajua Sisi binadamu watu waajabu sana,
Yaani eti kisa flani ni star basi tunataka aishi vile tunataka sisi,
Wakati huo sisi hakuna mtu anaetupangia jinsi ya kuishi.
Mmh Ndo tulivyo
Hata ukionyesha uwezo wakutembea juu ya Maji bado tu watasema Hujui kuogelea ndiomaana Unatembea juu ya Maji
 
Snura alisema anampenda sana dogo amuoe eti dogo hana kibamia, ila dogo amekamatia dini ya kikristo dizain flani so mossion impossible.

Ha ha haaaaa mkamatia dini gani anapigwa denda hadharani? tumemuona Lina mtoto wa mchungaji kawa kama mtoto wa shetani, na huyu naye ameshaanguka
 
sio kwa upuuzi huu wa kuiga tamaduni za kifala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…