Ben pol vs Diamond

ben pol ana tuzo 1(mwimbaj bora wa rnb)
diamond ana tuzo 6 za kirimanjaro pekee..n juz alipewa tuzo nyingine nchin kenya kma mwimbaj bora wa kiume (nzumari awards).diamond kwa wimbo uliomtoa tu(mbagala) akapata nafas ya kushindania tuzo kubwa dunian za MTV(ukimtoa Ay anafanya hip hop hakuna mwana bongo fleva aliyewahi ) diamond ndiye msanii anayejaza watu wengi kwenye showz kuliko msanii yeyote(kumbuka alifanya show ya peke yake kiingirio kikiwa ni 50000 na watu wakajaa,nani mwenye ubavu huo?
mpka hapo ushajua mkari ni nani tanzania na c ben pol tu
 
Dogo Ben Paul huwa namfananisha na J Mo. Yaani ni mkali ile mbaya lakini lakini hana nyota ya kung'aa kivile. Lakini Almasi ni mkali na ana nyota kali kama yule jamaa alikua anaitwa Mr. Nice wa TAKEU. Kwangu mimi Ben Paul ni mkali sana tena sana lakini kwa almasi bado sana. Almasi anaweza bana.
 
wanafanya stail tofaut kabsa,kwa hapo umebugi,.
BEN POL ANASTAHL KUSHNDANISHWA NA AKINA RAMA DEE,STEVE RnB..
 
Ben pol yuko juu sana. Dimond bado sana,

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ki' talent, Ufundi na Ujuzi Benard anaweza Sana! Anaimba real R n B..! Nassibu hawezi kuimba R n B..!!!

Ki'ushabiki Nassibu yupo juu coz anaimba style pendwa+ na yale mashauzi yake basi ndiyo anampiga gape hapo Benard

Jana nilikua na rafiki yangu tunaangalia video ya "far away" ya Alikiba, akiniuliza, hivi Bwana Nassibu angekua(ga) na muonekano kama wa Alikiba ingekuaje???

Then next time jaribu kupambanisha watu wanaofanya mziki wa mtindo unaoendana.. Huwezi pambanisha msondo na machozi band..
 
Mbona hawaendani hao.Fanya choice nyingine
 
uko sawa kabisa mkuu ni vizuri kuwashindanisha wasanii wanaofanya muziki unaofanana diamond hadanyi rnb hivyo unakosea sana kumshindanisha na benpol bytheway namkubali sana benpol ni mkali pekee wa rnb hapa tz
wanafanya stail tofaut kabsa,kwa hapo umebugi,.
BEN POL ANASTAHL KUSHNDANISHWA NA AKINA RAMA DEE,STEVE RnB..
 

H.O.D katika ibora wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…