Ben Pol with his bae at Salt Bae Dubai

Hahahaha, watanzania ni vidume wa EA, tutaendelea kuwalamba dada zenu, ninyi hamna uwezo wa kuwaoa watanzania, mtabaki kula kwa macho.

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha...shenztype... wakenya tunawapiga double double. sio kwenye kasi ya development tu, bali mpaka kwenye kasi ya kudate na dada zao. [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Bora leo umekiri kwa kinywa chako kuwa watanzania wana pesa. Mda si mrefu kila kinywa cha mkenya kitakiri hivyo
Kila nchi ina watu walio na pesa. Utakua mjinga kufurahia mtu kusema kuna watu nchi yako walio na pesa. Kweli Wabongo fikra zenu ni finyu.
 
Dhaifu sana nyie wakenya hasa kwenye mapenzi ndo maana mnachezea sana vichapo kwa wanawake zenu
 
Pumbavu mkubwa wewe, hivi Ali Kiba au Ben Paul ana uwezo gani zaidi ya kuwa maarufu?. Uliza kama Christian Rolnado au hao Celebs wengine wengi kama wameoa wanawake toka nchi zao. Huna unalojua zaidi ya kupiga domo, ukweli ni kwamba Tanzania ni vidume katika EA, ninyi wengine ni majike, ni kama lion kingdom porini, dume ni moja linazungukwe na majike mengi, wote huzalishwa na dume moja. Tanzania tumewazalisha Kenya, Uganda, na Rwanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣🤣🤣🤣🤣

Hakukutapikia?

Hamna, alikausha muda wote yuko freshi tu. Bahati hiyo bar ilifungwa saa sita kwa mujibu wa sheria zenu, sijui tungeendelea yangeishia wapi.
 

Wacha hasira kijana. Huu mchezo hautaki hasira😀😀😀
Ali Kiba na Ben Pol ni matajiri huko Tanzania. Kila demu Mtanzania anawapigania lakini wao hawataki washamba. Wataendelea tu kikumbilia wasichana wa Kikenya.

Utakua mjinga kudhani Cristiano ameoa demu wa Kiafrika. Shida yako uelewa wako ni finyu. Demu wa Cristiano ni Spanish - nchi ya kizungu iliyo na hadhi sawa na Portugal. Kila siku Mtanzania anaomba apate uwezo wa kuoa demu wa Kikenya na akipata tu uwezo hivi basi kwisha habari. Hayo matusi mnayoshinda mkiporomoshea mademu wa Kikenya humu nimekuja gundua ni uchungu wa mkosaji tu maanake mjinga kama joto la jiwe akipata hela na umaarufu Kidogo atapanda KQ kuja Nairobi kutafuta demu amtoe ushamba.
 
Zidi kumsukumia moto...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 990873View attachment 990874
katika wanawake wote wa kikenya ambao vijana wa kitanzania wamewahi kudate nao, hakuna mwanamke ambaye wanaume wa kikenya wanaumia roho kama huyu binti anayedate na ben paul.

yaani huyu dada kasababisha ben paul achukiwe sana na wanaume wenzetu wa kikenya.sijui tatizo ni nini.

huwa nafatilia mijadala yao kwenye social media, mapovu wanayotoa si ya kawaida.

kinachowauma zaidi wakenya ni kwamba huyu dada yupo well off kimaisha,hana shida ya pesa ndogo ndogo. pili ni mrembo, ana exposure falani hivi na sio slayqueen.

kwa binti wa kikenya kama huyu mwenye standard kama hiyo halafu ana date na kijana wa ktz, hilo kwao halipo sawa.
 
Hahahaha Chizi wewe, sasa ulitaka Ben Paul akaoe wazungu?, kati ya wanamuziki wenye pesa huyo jamaa hayupo kabisa huku Bongo.

Tatizo wanawake wenu wanawapapatikia sana watanzania, hadi Mboso akuwa Yamoto Band, bado mtoto mdogo saba enzi hizo lakini ameshamzalisha mkenya.

Kwa wakenya, waganda au wanyarwanda kutongozwa na mtanzania ni bahati kubwa sana, tutaendelea kuwazalisha na kuwatafuna Dada zenu wakati ninyi hamna uwezo wa kuwapata Dada zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna, alikausha muda wote yuko freshi tu. Bahati hiyo bar ilifungwa saa sita kwa mujibu wa sheria zenu, sijui tungeendelea yangeishia wapi.
Uje umtafute tena maana February ngoma mpaka asubuhi.
 

Wewe saa zingine unakuanga kama mtoto au mtu asiye na akili vile. Yaani maswali unayouliza ni kambe huelewi hata kinachoongelewa wakati upo kwenye mjadala. Sasa nani kasema nilitaka aoe mzungu?

Nimekupa examples nyingi muno kwamba, ukipata mtu katoka society iliyo na hadhi ya chini ameoa au kuoleka na mtu kutoka society iliyo na hadhi ya juu, lazima yule kutoka society iliyo na hadhi ya chini awe na umaarufu au pesa kwa wingi. Vijana kutoka jamii zenye hadhi ya chini kila mara hutaka kukubalika kwa jamii zenye hadhi ya juu na wao uona njia mwafaka ni kutafuta demu kutoka jamii yenye hadhi ya juu na wakipata huo uwezo wanafanya hivo tena haraka sana. Sasa hivi tunapoongea, kijana aliye na umaarufu zaidi Tanzania ni Diamond - anadate Mkenya.
Kuna Kiba - ameoa Mkenya
Sasa Ben Pol anadate Mkenya.

Hili linamaana lengo la kijana mtanzania ni kupata binti wa Kikenya na sasa hivi tunapoongea, wewe kilaza ndoto yako ni kupata binti wa Kikenya ni vile huna uwezo.

Ebu watch hii video hapa kama utaelewa Kiingereza labda utaelewa ninachokueleza.

 
Kila nchi ina watu walio na pesa. Utakua mjinga kufurahia mtu kusema kuna watu nchi yako walio na pesa. Kweli Wabongo fikra zenu ni finyu.
Nilijua kauli zenu lazima mzikane wenyewe, na wewe umeshaanza kukana kauli zako za huko nyuma. Halafu ulivyo wa ajabu unafikiri hilo la kila nchi kuwa na wakwasi silijui, wakenya bwana[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Uje umtafute tena maana February ngoma mpaka asubuhi.

Demu chapombe ni turn off for me, chupa sizidi tano, lakini kama ni wa kutirirka tungi hapana, labda enzi nilizokua nalewa, wakati huo nilikua najiachia nakunywa pombe nyingi nalewa balaa, sasa hapo niwe na totoz ambaye naye analewa kupindukia halafu sote walevi tuishie gesti, ndio ngoma inanoga balaa maana hakuna kitu hatutafanya.
 
Hiyo inaitwa Konki konki konki master
 
Wema Sepetu tumekuandalia wewe jirani
 
Hahahaha, kwahiyo wanyarwanda, waganda na wakenya ambao wote wanaolewa na watanzania, nchi zote hizo zinahadhi kuliko Tanzania?, kule Mombasa wanaume wanakubali kuwaruhusu wake zao waolewe na wazungu japo kwa mkataba ili wakatengeneze maisha, je wale pia wanahadhi ya juu?

Acha kukimbia ukweli, hapa EA kila mtu angependa siku moja apate kufika Tanzania na kuja kuishi, njia rahisi na pekee kwa Dada zenu ni kuchukuliwa na watanzania, bahati mbaya haturuhusu ushoga, vinginevyo hata ninyi wanaume mngeolewa na watanzania kama mbavyoolewa Europe na USA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…