MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Kwa taarifa yako ndo tunaanza kuwadominate hivyo, maana mke siku zote yuko chini ya mume, na kenya imetoa wanawake wengi kwa wasanii wa kibongo so mnaenda kuwa chini yetu[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Jiandaeni kisaikolojia
Hehehe sasa hapo ndio umesema nini jamaa, tunakuja chini yenu kivipi....wasanii wenu ndio wanawakimbia mademu wa Kitanzania na kuoa Kenya, Uganda na Rwanda, sasa hapo unajisifia nini haswa.
Halafu mnavyowatukana hao wasanii kisa wanaoa nje, hebu fuatilia comments za Watanzania kwenye mitandao ya kijamii, hehehe wivu balaa.