Ben Pol with his bae at Salt Bae Dubai

Ben Pol with his bae at Salt Bae Dubai

Kwa taarifa yako ndo tunaanza kuwadominate hivyo, maana mke siku zote yuko chini ya mume, na kenya imetoa wanawake wengi kwa wasanii wa kibongo so mnaenda kuwa chini yetu[emoji4] [emoji4] [emoji4]

Jiandaeni kisaikolojia

Hehehe sasa hapo ndio umesema nini jamaa, tunakuja chini yenu kivipi....wasanii wenu ndio wanawakimbia mademu wa Kitanzania na kuoa Kenya, Uganda na Rwanda, sasa hapo unajisifia nini haswa.
Halafu mnavyowatukana hao wasanii kisa wanaoa nje, hebu fuatilia comments za Watanzania kwenye mitandao ya kijamii, hehehe wivu balaa.
 
Kama hujaelewa nilichokisema subiri tufike kwenye chorus[emoji4] [emoji4]

Halafu wewe naona unazuzuka na maoni ya mitandaoni, wakati huko wamejaa watu na team zao.

Hivi unategemea team diamond wamwambie nini alikiba, au vise versa yake wasemeje?

Stay still brother. Hata wakoloni hawakutawala ghafla, walianza fore runners.
 
Hehehe sasa hapo ndio umesema nini jamaa, tunakuja chini yenu kivipi....wasanii wenu ndio wanawakimbia mademu wa Kitanzania na kuoa Kenya, Uganda na Rwanda, sasa hapo unajisifia nini haswa.
Halafu mnavyowatukana hao wasanii kisa wanaoa nje, hebu fuatilia comments za Watanzania kwenye mitandao ya kijamii, hehehe wivu balaa.
Sababu inayopelekea wasichana wao kutumia ushirikina ili kupendwa na hawa macelebs wao. This is low esteem & lack of self respect.
 
Aren't you the one who was complaining the other day that Kenya exports ugly ladies? Why don't you report these people to tz authorities for betraying your country? They should be apprehended and arraigned in a court of law to explain why they are dating 'sura za baba zao'
Hahahahaha, vipi ile safari yetu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli wakenya wanapenda wa Tz..kuna demu mmoja wa kikenya( Luhya girl) yupo Kampala huwa ananipenda sana!! huwa namkazaa nikiwa kampala alafu na ile wezere na hips aliyonayo daah😀
 
Hahahaha, kwa watania kuoa wakenya ni kwasababu ya watanzania wanawakimbia wasichana wa kitanzania, sio kwamba simba dume ndilo linalozunguka kutafuta majike baada ya kwenda kuwashinda madume ya sehemu zingine ambazo ni dhahifu?.

Acheni kubadilisha maneno, Tanzania ni vidume hapa EA, sisi ndio tunazunguka kufuata majike Kenya, Uganda na Rwanda, na hapa TZ, sio vinginevyo. Msichana wa Tanzania akiolewa Kenya, Uganda au Kwanda, inaonekana ameshuka chini, hata wazazi watamuuliza "Kweli umekosa mchumba hapa Tanzania?", kama ambavyo wazungu huwauliza mabinti wao wakiamua kuolewa na kuishi Africa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Sababu inayopelekea wasichana wao kutumia ushirikina ili kupendwa na hawa macelebs wao. This is low esteem & lack of self respect.

Hatari sana kwa kweli, demu mzuri tu tena mrembo lakini ushirikina umewajaa sana hawa, yaani ushirikina ndio huiponza Tanzania, kwanza maeneo maskini maskini ndio yamejawa na huo ushirikina, haswa kule Sumbawanga na Kigoma. Japo totoz za Kichagga hazina hayo mambotena warembo, ila wanapenda hela kupita maelezo.
 
Kumbe tz unajua barabara tu vya ndani bado.
 
Tarehe 24 hukuwa humu. Siku zilizofuata sikuweza kuingia jf ndio maana sikukwambia. Anyway, the place is beautiful. I hope I'll come alone next time. Maulana akinijalia
Now you're talking, safari hii lazima ufike hadi Zanzibar ukatafune pweza, ngisi na ujifukize udi na upake mafuta ya karafuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama, lazima ben pol ana kitu cha Ziada ndio maana huyo demu hajahepa, Unadhani Ben Pol angekuwa ni Mkora kama wewe huyo demu angekubali kupigwa mashini?
Ben Pol is Tanzania's top cream. We are wondering why your best men come for Kenyan ladies. It is simple. Elimu yenu ni finyu. Maceleb wenu pia hawana elimu ya kutosha - linganisha Sauti Sol na Diamond. Hawana exposure na ni washamba kimataifa. Wanawakimbilia madem wa Kikenya na Uganda na Rwanda kwa sababu wanataka kuchanuliwa. Mondi hawezi mpeleka Mobeto Ulaya alafu wakifika huko ni washamba wote alafu wataambiaje watu huko eti wao ndio power couple wa Tanzania? Kumbuka Jay Z alivomshauri Meek Mill - As a successful man, it is important to have a strong woman by your side. Wanamziki wa Kitanzania hawawezi pata mwanamke kama huyo bongo ndio maana wanakimbilia Kenya. Shida ya madem wa Kibongo ni wale wanaodhani ukiwa mrembo basi utakaa tu habo ukijipulizia hewa na kucheka kama kondoo huko mwanaume akijishulisha. Hawajui kujituma............wako wako tu.

Nakumbuka Hamisa Mobeto alipokuja Kenya mara ya kwanza majounalist walimkimbilia wakiexpect so much ontent from her. Demu mwenyewe kayeyusha kila kitu - kwa maojiano ako so superficial, kile alichokua nacho ni urembo tu. Mwanamke wa Kikenya kitambo afikie umaarufu wa Mobeto atakua amefika ile level ukimpeleka popote duniani hawezi kuaibisha.
 
Ben Pol is Tanzania's top cream. We are wondering why your best men come for Kenyan ladies. It is simple. Elimu yenu ni finyu. Maceleb wenu pia hawana elimu ya kutosha - linganisha Sauti Sol na Diamond. Hawana exposure na ni washamba kimataifa. Wanawakimbilia madem wa Kikenya na Uganda na Rwanda kwa sababu wanataka kuchanuliwa. Mondi hawezi mpeleka Mobeto Ulaya alafu wakifika huko ni washamba wote alafu wataambiaje watu huko eti wao ndio power couple wa Tanzania? Kumbuka Jay Z alivomshauri Meek Mill - As a successful man, it is important to have a strong woman by your side. Wanamziki wa Kitanzania hawawezi pata mwanamke kama huyo bongo ndio maana wanakimbilia Kenya.
Hahahaha, wale wazungu wanaokuja kuoa wakenya kila siku nao pia wanaelimu ndogo?, acha kukwepa ukweli, waliojuu ndio wanaokwenda kuoa watu walio chini, sio rahisi kwa mkenya au waganda kuja kuoa Tanzania, kama ambavyo sio rahisi kwa mkenya kwenda kumuoa mzungu, ila ni rahisi kwa mzungu kumuoa mtanzania au mkenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ben Pol is Tanzania's top cream. We are wondering why your best men come for Kenyan ladies. It is simple. Elimu yenu ni finyu. Maceleb wenu pia hawana elimu ya kutosha - linganisha Sauti Sol na Diamond. Hawana exposure na ni washamba kimataifa. Wanawakimbilia madem wa Kikenya na Uganda na Rwanda kwa sababu wanataka kuchanuliwa. Mondi hawezi mpeleka Mobeto Ulaya alafu wakifika huko ni washamba wote alafu wataambiaje watu huko eti wao ndio power couple wa Tanzania? Kumbuka Jay Z alivomshauri Meek Mill - As a successful man, it is important to have a strong woman by your side. Wanamziki wa Kitanzania hawawezi pata mwanamke kama huyo bongo ndio maana wanakimbilia Kenya. Shida ya madem wa Kibongo ni wale wanaodhani ukiwa mrembo basi utakaa tu habo ukijipulizia hewa na kucheka kama kondoo huko mwanaume akijishulisha. Hawajui kujituma............wako wako tu.

Nakumbuka Hamisa Mobeto alipokuja Kenya mara ya kwanza majounalist walimkimbilia wakiexpect so much ontent from her. Demu mwenyewe kayeyusha kila kitu - kwa maojiano ako so superficial, kile alichokua nacho ni urembo tu. Mwanamke wa Kikenya kitambo afikie umaarufu wa Mobeto atakua amefika ile level ukimpeleka popote duniani hawezi kuaibisha.
Wonders never cease. Endeleeni
kushangaa.
 
Wonders never cease. Endeleeni
kushangaa.
Nyie ndio munaoshangaa........mbona mkiwa bila pesa munawapenda wasichana wakibongo, Mkishapata pesa munakimbilia Kenya, Uganda na nchi zengine? Mambo kama haya ni ya kawaida kwa societies zilizo chini na pato la chini - kwa mfano ukienda Marekani, wale Black Americans ndio wenye pato la chini zaidi na cha kushangaza, wengi wao wakishapata pesa hawapendi mabinti wenye asili ya kiafrica, watawatafu wazungu ama wale pointii walio na damu ya kizungu zaidi ya kiafrica. Imekua kero hadi mabinti wenye asili ya kiafrica huko wanalalamika. Ni aina ya inferirity complex inayosababisha haya.
 
Hahahaha, wale wazungu wanaokuja kuoa wakenya kila siku nao pia wanaelimu ndogo?, acha kukwepa ukweli, waliojuu ndio wanaokwenda kuoa watu walio chini, sio rahisi kwa mkenya au waganda kuja kuoa Tanzania, kama ambavyo sio rahisi kwa mkenya kwenda kumuoa mzungu, ila ni rahisi kwa mzungu kumuoa mtanzania au mkenya.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe kila siku mimi hukwambia una uwezo kidogo sana wa kufikiria na husikii.

Wazungu wanaokuja Kenya na Afrika kuoa ni wale wenye hadhi ya chini zaidi Uzunguni maanake society yao imeendelea zaidi na ina pato zaidi ya zetu. Wale wanaume wasio na uwezo wa kupata binti mrembo huko ndio wataokuja Africa na kujishindia mabinti warembo zaidi. Hutampata David Beckham ama Cristiano Ronaldo akija Tanzania ama Kenya kutafuta binti bali utapata kile kijizee ama kijana asiye na hadhi kule akija huku. Ukiona society yenu wanaume walio na uwezo wa kifedha zaidi wakitafuta mademu nje jua bado socially mko chini zaidi. Wakenya wengi tu wameoa Tanzania ile sio wale Wakenya walio na hadhi ya juu kwenye jamii.
 
Nyie ndio munaoshangaa........mbona mkiwa bila pesa munawapenda wasichana wakibongo, Mkishapata pesa munakimbilia Kenya, Uganda na nchi zengine? Mambo kama haya ni ya kawaida kwa societies zilizo chini na pato la chini - kwa mfano ukienda Marekani, wale Black Americans ndio wenye pato la chini zaidi na cha kushangaza, wengi wao wakishapata pesa hawapendi mabinti wenye asili ya kiafrica, watawatafu wazungu ama wale pointii walio na damu ya kizungu zaidi ya kiafrica. Imekua kero hadi mabinti wenye asili ya kiafrica huko wanalalamika. Ni aina ya inferirity complex inayosababisha haya.
Hahahaha, watanzania ni vidume wa EA, tutaendelea kuwalamba dada zenu, ninyi hamna uwezo wa kuwaoa watanzania, mtabaki kula kwa macho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ndio munaoshangaa........mbona mkiwa bila pesa munawapenda wasichana wakibongo, Mkishapata pesa munakimbilia Kenya, Uganda na nchi zengine? Mambo kama haya ni ya kawaida kwa societies zilizo chini na pato la chini - kwa mfano ukienda Marekani, wale Black Americans ndio wenye pato la chini zaidi na cha kushangaza, wengi wao wakishapata pesa hawapendi mabinti wenye asili ya kiafrica, watawatafu wazungu ama wale pointii walio na damu ya kizungu zaidi ya kiafrica. Imekua kero hadi mabinti wenye asili ya kiafrica huko wanalalamika. Ni aina ya inferirity complex inayosababisha haya.
Bora leo umekiri kwa kinywa chako kuwa watanzania wana pesa. Mda si mrefu kila kinywa cha mkenya kitakiri hivyo
 
Suala la unywaji wa pombe kwa wanawake halina Ukenya wala Utanzania, nimeishi nchi zote mbili tena kwa muda mrefu haswa kipindi nilikua mnywaji wa pombe, nalifahamu kwa undani. Hapo Bongo nimekunywa pombe sana na mademu tungi, kwanza kuna mmoja hata nilishawahi kufungua uzi juu yake kule jukwaa la MMU, yaani demu nimemualika kwenye meza yangu anipe company tupige story, nikaanza kumuagizia, aisei binti wa watu alinishangaza kuchezea chupa 17 ndani ya muda mfupi sana na halewi, yupo yupo tu.
Sio kwamba mimi mbahili, napenda sana kuwanunulia wadau pombe japo sinywagi siku hizi, niliacha kabsa, lakini nielewavyo mademu, kawaida yao hawazidi chupa tano, lakini huyu binti wa Dar kaniacha hoi, anabugia crate nzima ya beer na kuendelea na story kama kawa.

🤣🤣🤣🤣🤣

Hakukutapikia?
 
Back
Top Bottom