Mkolomije,nzirankende na vizazi vyao vilaaniwe!! Unaua mtu kisa kutofautiana mtazamo binafsi?Leo siasa pembeni
Leo nimeingia kwenye majonzi binafsi
Ben rafiki yangu wa miaka mingi aliniunganisha na wazalishaji wa kemikali nchini India maana alifahamiana nao akiwa kule.
Leo supplier wangu ananiuliza hivi fulani yuko wapi (Ben Saanane)? Nimekosa jibu la kumpatia huyo muhindi.
Hapa nimewaza nilivOfahamiana na Ben, hadi mchango wa harusi yake nilichangia na akawa rafiki na akanipa deal nzito ninayokula pesa mpaka leo basi tu.
Alipo popote Ben, leo nimemkumbuka Kwa wema wake kwangu,
Pombe sijawahi kunywa toka nazaliwa, hata mrangi hua tukikutana nakunywa maji na juice tu, leo nimesikitika sanaMkuu, hqpo umekula konyagi ngapi?
Kaka yetu Ben walimpeleka Katavi.Leo siasa pembeni
Leo nimeingia kwenye majonzi binafsi
Ben rafiki yangu wa miaka mingi aliniunganisha na wazalishaji wa kemikali nchini India maana alifahamiana nao akiwa kule.
Leo supplier wangu ananiuliza hivi fulani yuko wapi (Ben Saanane)? Nimekosa jibu la kumpatia huyo muhindi.
Hapa nimewaza nilivOfahamiana na Ben, hadi mchango wa harusi yake nilichangia na akawa rafiki na akanipa deal nzito ninayokula pesa mpaka leo basi tu.
Alipo popote Ben, leo nimemkumbuka Kwa wema wake kwangu,
Leo imeniuma sana, kwani alinihusu huyu jamaaKaka yetu Ben walimpeleka Katavi.
ππππLeo siasa pembeni
Leo nimeingia kwenye majonzi binafsi
Ben rafiki yangu wa miaka mingi aliniunganisha na wazalishaji wa kemikali nchini India maana alifahamiana nao akiwa kule.
Leo supplier wangu ananiuliza hivi fulani yuko wapi (Ben Saanane)? Nimekosa jibu la kumpatia huyo muhindi.
Hapa nimewaza nilivOfahamiana na Ben, hadi mchango wa harusi yake nilichangia na akawa rafiki na akanipa deal nzito ninayokula pesa mpaka leo basi tu.
Alipo popote Ben, leo nimemkumbuka Kwa wema wake kwangu,
Ila iko siku uchunguzi huru utakuja kufanyika na kuweka wazi watu wote waliopotea toka enzi za Mwl Nyerere na hatima yao.He was doing his PhD that period.
Naweza kusema mleta uzi siyo mkweli.