Tetesi: Ben Saanane kuna biashara gani unafanya na ubalozi wa Sahara Magharibi na Kundi la TASSC?

mmeona serikali inaumbuliwa kule bungeni mnaanzisha thread za kutupeleka mrama.
hatudanganyiki!
 
Ben anaongea ukweli. Na ukweli mara zote huuma.
 

Naamini hii inafanyika kwa sababu tu kila Mtanzania ana haki ya kutoa maoni (Inasadikika)!
katika uhalisia sijaona kijana wa Lumumba Buku saba anayeweza kupambana kwa hoja na walau mwanafunzi wa Ben katika siasa (Maana nikisema Ben ni kumshusha heshima)!
Hata kama watakusanyika vijana wote wa Lumumba chini ya mkakati wao wa kulipana buku saba kwa kila post, bado sioni kama wa uwezo huo wa kujenga hoja!
 
-haka kamwanamke ka kimakonde kamenifunga kiunoni na khanga,kanadhani kameniweza ngoja nikikomeshe sasa kwa mziki mkubwa kenyewe kataomba poh,na kufungua khanga zenyewe bila shuruti"
 
Sasa huyu Ben na Jecha yupi ni mtu hatari ,

Mngeshughulika na Jecha ningeona mpo katika mstari ,

Lakini mko kimya kama kule Zanzibar hakuna tatizo.
 

Lizaboni bwana huishiwi vituko!!!
 
Huyo ben hana lolote anachoweza ni kuua kwa sumu tu.
Ila naamini atashughulikiea sisi huwa hatuomgei braza.Action talks
Unajua mtu anayeua anapelekwa wapi? Na wewe unalipwa kweli kwa kuandika upuuzi kama huu?
 
ANOTHER 63% MEMBER, KAMA SI MMOJA KATI WA WALE WANNE.

VIJANA WANATUMIKA TU MAISHA HAYA, .........
 
Huyo ben hana lolote anachoweza ni kuua kwa sumu tu.
Ila naamini atashughulikiea sisi huwa hatuomgei braza.Action talks

Sasa kama hakuna kitu Ben anachoweza mbona UVCCM mmeanzisha thread ya kulia-lia hapa??
 
Mtoa mada hujui kuwa siasa ni Sana'a ya kugangia njaa,na ni biashara inayolipa
 
Kwani Ben anamsema Magu kwa kumsemea uongo au anasema hali halisi?he, Ben hana haki kama raia mwingine kutoa maoni yake ?Je, Sahara ni Taifa adui la Tanzania hata hiyo Ben asihusiane nao?mleta mada ukinijibu haya ndo ntaona mwanga wa kile ulichokiandika vinginevyo utakuwa unaongea upupu tu
 
Dawa nzuri kwa watu wa hivi ni kuwakutanisha na Israel tu.

Kulea ujinga na kudekeza wahuni ni kupoteza mamlaka kamili kwa kiongozi yeyote awaye
 
Ben anafanya kazi unayo fanya wewe mleta uzi.. Sema tu mpo kambi tofauti.
 

KIBARAKA LONGTIME AGO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…