Jibu si alilipata Ben au bado mnangojea jibu gani?
Kweli mmehasimika na tamko la bashiri mtoke mashimoni.
Mashimoni mmetoka tatizo hoja hamna. Mumiani wala watu nyie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu si alilipata Ben au bado mnangojea jibu gani?
Mbona kuna ushahidi kuwa kaondoka kwa mkono wa mzee baba mwenyewe? Inasadikiwa anasubiriwa ang'olewe tuu kisha kile kifungu cha katiba kifutwe hata kwa muda tuu ile watu wale sahani moja na yeye!Hakuna ushahidi kama kweli kafa
Tena kajiunga JF 2016 lakini kaandika post 5 tuu za kimkakati.Wewe muuaji wa Ben ulaaniwe milele.
Kutoka kwa watu waoga ndio wanaoona kupoteza maisha ya wengine kwa siri ni ushujaa.Jibu si alilipata Ben au bado mnangojea jibu gani?
Hahaha...nani kamuua? sio kwamba yuko msituni anapigania uhuru wa Sahara Magharibi?Kutoka kwa watu waoga ndio wanaoona kupoteza maisha ya wengine kwa siri ni ushujaa.
Kama unamuua kijana kama Ben kwa vile kahoji tuu elimu yako basi kuna mawili.
1. Elimu hiyo uliyo nayo ni magumashi hivyo huna fahari ya kusimama na kujidai NATO
2. Wewe ni mtu muoga na mshenzi usiyestahili kuwepo katika ulimwengu wa kistaarabu
Dah!... Siasa hizi...Dawa nzuri kwa watu wa hivi ni kuwakutanisha na Israel tu.
Kulea ujinga na kudekeza wahuni ni kupoteza mamlaka kamili kwa kiongozi yeyote awaye
weka ushahidi tuoneMbona kuna ushahidi kuwa kaondoka kwa mkono wa mzee baba mwenyewe? Inasadikiwa anasubiriwa ang'olewe tuu kisha kile kifungu cha katiba kifutwe hata kwa muda tuu ile watu wale sahani moja na yeye!
mhhh??????????Mmemshindwa Ben kwa hoja sasa mmegeukia viroja.
Niliwaambia UVCCM all inclusive, kwenu Ben, Malisa na Yericko ni level nyingine hamuwawezi.
Na kweli 'mlifanya kazi yenu' Damu ya binadamu huwa haipotei kamwe tarajieni upanga wa moto wa Mwenyezi Mungu kweni nyote na vizazi vyenu.Huyo ben hana lolote anachoweza ni kuua kwa sumu tu.
Ila naamini atashughulikiea sisi huwa hatuomgei braza.Action talks
Subiri wakati ufike hao walio nao watauweka hadharaniweka ushahidi tuone