Ben Saanane mwisho wake umefika rasmi

ACT na CCM wanamwogopa sana Ben kwa nini?
 

jigoku,

Mwenyezi Mungu akupe Maisha Marefu.

Pia nawashukuru wote ambao mmesimamia principle.Jioni ya leo iwe ya kheri kwenu
 
Last edited by a moderator:
Siasa chafu za Bavicha zitawamaliza.visasi majungu na fitina hizi zote zinatokana siasa za kuchumia tumbo.Vijana wamesoma hamtaki kujiajiri kisa mnasubiria kua mwenyekiti wa Bavicha.Image ya CDM imeanza kuchafukia kwa bavicha toka 2009 then 2011 na bado mwaka huu mtatoboana macho.
 
Hakika wewe ni kibaraka mkubwa wa CCM

Hakuna mwanachadema mwendawazimu kama wewe.Mwanachadema gani wa kuleta uchochezi kwenye mitandao kumshambulia mwanachadema mwwnzako?

Kwanini mnamuogopa Ben Saanane kihivyo? Mnahofu gani na yeye? Mbona hajatangaza bado kugombea mnaanza kuchanganyikiwa?

Kama wewe ni mwanachadema kwanini usisubiri ukumbini kura zikaamua?

Kwa upumbavu kama huu wa kumshambulia Ben ninajiridhisha sasa kwamba ndiye chaguo sahihi la vijana wa Bavicha!

Go on Ben..Usitishwe na matusi ya vibaraka wa CCM
 
Last edited by a moderator:
Kama unajua jina la Ben litatupwa kwenye taka kihere here cha nini kuweka thread humu? Upumbavu kama huu ndiyo unaoimaliza ccm yenu na hako ka malaya act.

Ben awe kiongozi asiwe kiongozi jina lake litabaki kwenye historia ya chama hiki, ameifanyia mambo makubwa. Kama siyo Ben Saanane kufichua nia ovu ya Zitto Kabwe kupitia PM7 chama kisingejua mapema kuwa kuna ugonjwa wa usaliti unaitafuna chama, kama siyo Ben Saanane mtandao wa masalia japo usingefanikiwa lakini kwa vyovyote vile ungesababisha chama kutumia nguvu kubwa kuponya madhara.

Leo hii tunayoona hasa baada ya Ben kuonekana jina lake linatajwa tajwa katika nafasi za juu za vijana, wale ambao kwa namna moja ama nyingine waliathirika kisiasa na kimapato baada ya Ben kusanua usaliti wao, ndiyo wanaomrushia mawe Ben kuwa eti ni hatari kwa bavicha mweeeee!!! Mnalipa visasi wakati mpo nje ya chadema duh!

Maauzi ya bavicha kwa nani atawafaa kuwaongoza yatafanywa na wajumbe halali wa bavicha, ni wao wataamua nani ni nani na kwa nafasi gani, siyo mapumbavu ccm na demu wao act ambalo leo linasherekea zawadi ya associate profesa wa usaliti Kitila..... jamaa na heshima zote lakini kisiasa hana tofauti na kinyesi
 
Hii kali sasa, cyo ishu kusemana kiasi hiki ktk mitandao km kweli mtoa mada ni mwanachadema.
 
HIVI KAMA BEN SAANANE AMESHAANZA KUWANYIMA USINGIZI AKIWA TU MWANACHAMA WA. BAVICHA JE AKIWA KIONGOZI SI NDO KAZI IMEISHA?
Mi kura yangu lazima iende kwa mtu ambaye ccm na washirika wake wanamuogopa kwasababu hakika huyo ndiye atawaweza.

Na kwa maelezo yako umeonyesha uoga mkubwa na hofu ya maslahi yenu kutishiwa na huyu kamanda Ben wa saanane kugombea.

Pamoja sana Comred Ben.
 

Mkuu umemaliza yote ila hawa wahuni wana roho ngumu sana eti wanajaribu kushindana na Ben Saanane watu wanaoweza kununuliwa na yule kijana wa Mwandiga?

Eti kweli wanaamini anaweza kuishinda taasisi kubwa kama CHADEMA nao wakaingia mkenge. Sasa yamekaa nje maana hata pesa toka kwa mfadhili wao zimegoma wanajifanya wanaCHADEMA, kama ni mwanachama atakuwa Arfi au shibuba type ambao hatuwahesabu tena kundin
 
Naona masalia wameanza kutapatapa hakika mmeshikwa pabaya na Ben na mwaka huu hakuna rangi mtaacha kuona
 
Mwanachama yeyote anamfahamu Ben Saanane na jinsi alivyosaidia CHADEMA dhidi wasaliti expert chini ya supervisor wao na sasa m/kiti wao huko act, atjivunia kusiki kamanda anataka kuongoza harakati akiwa kiongozi wa taasisi muhimu kwenye chama.

CHADEMA Inahitaji kijana makini, jasiri, msomi na very radical na mwenye misimamo mikali sana dhidi ya uonevu and Ben Saanane is real a right man to the position.
 
Japo mimi ni mwanachama wa chama cha siasa lakini sio Chadema, ila tukubali tukatae, ukiondoa mapungufu yake ya kibinaadamu, (hakuna binaadamu mkamilifu), Ben Saanane, is the type of leaders BAVICHA, should have had long ago, and had it been, he had been there, BAVICHA would not have been the same again, it would have been far far ahead, by now CCM ingekuwa bize kukusanya kusanya kilicho chake kupisha njia!.

Thanks.
Pasco.
 
Kusoma sio kuelimika loh!! Mtu uko jf afu unakua imbecile kama mtu wa std 7? Aisee ndio mana mchi yangu ni masikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…