We jamaa ukimsifia mwana Chadema naanza kumtilia shaka huyo msifiwaji. We
Pasco umeifitini sana Chadema offline ma wazi wazi. Hufai hata kidogo mnafiki wewe.
Mkuu Serikali Tatu, kwanza asante kwa kudhania hivyo unavyodhania, na hiyo ndio faraja yangu.
Hili la kuifitini Chadema off line na online count me in. Tatizo kubwa kabisa la wana jf, sio wengi wana uwezo to read trends, to read between the lines, and detect the motive behind!. Mimi kosa langu kubwa ni kuwa mkweli kupindukia, yote ninayoongea kuhusu Chadema ni ukweli mtupu, na ninachokifanya ni kuitembezea bakora mchana kweupe wazi wazi bila kificho. Kama mnadhani Chadema is the perfect party and does nothing wrong, mnajitanganya!. Mimi na wakosoaji wengine, tunaoiambia Chadema ukweli mchungu, ndio tunaisaidia Chadema, (kama inamasikio), kuliko nyie mnao ona uozo na kuunyamazia, mwisho wa siku, uvundo ndio utawafurumusha!.
Mipango yote ya kihuni ya Zitto na Kitila wewe ni mmoja wa waratibu halafu unakuja hapa kinafiki eti huna chama! Na CCM umemwachia nani?
Hili la uratibu wa mipango yote nakuachia wewe, unaonyesha unazo taarifa za ndani, kwa kawaida mimi huwa sihangaiki kujibu sana speculations za vitu ambavyo havipo!, vitu vya kubuni ambavyo sio reality!.
Tatizo langu jingine ambalo pia huwa linani cost ni kuwakubali baadhi ya watu!, namkubali sana ZZK na Kitilla ndani ya Chadema. Ni ukweli mchungu sana kumeza, ndani ya Chadema hamna wengine wa calibre yao!, Ben pia nilimkubali siku nyingi sana!, hebu tazama tarehe ya hii thread!, [h=3]
Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi Lake!. [/h]
By Pasco
Hakika Ben Saanane ni Mwamba na Juu ya Mwamba huu, Chadema itaijenga ngome yake!.
Ingawa kwenye uchaguzi wa Bavicha alikataliwa, hili ni jiwe walilolikataa waashi, "litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni"!.
Mark my words!, time will tell!.
Pasco.
tulikuja kutofautiana pale alipojichanganya na kwa kuwa snitch na kutumika kwanza kama ped., kisha kama dekio kwenye sakata la PM7. Naamini alikuja kugundua makosa yake na sasa amesimama imara!. Kuwakubali kwangu Zitto na Kitila hakuna maana kuwa Chadema hamna watu wazuri wengine, no, wapo wengi tuu ila sio lazima niwakubali!.
Kkukubali kwangu watu sio kwa Chadema tuu, hata CCM namkubali sana yule jamaa yangu for a reasons, na kwenye CUF namkubali sana Jussa!.
Thanks.
Pasco