Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
Tatizo kuna watu wanatishwa na uwezo wa Ben Ndani na nje ya chamaJapo mimi sio Chadema na sina chama, ila tukubali tukatae, ukiondoa mapungufu yake ya kibinaadamu, (hakuna binaadamu mkamilifu), Ben Saanane, is the type of leaders BAVICHA, should have had long ago, and had it been, he had been there, BAVICHA would not have been the same again, it would have been far far ahead, by now CCM ingekuwa bize kukusanya kusanya kilicho chake kupisha njia!.
Thanks.
Pasco.
cdm. ndo kilakitu
Heee kwani CDM neno Msaliti maana yake nini hasa?leo hii Ben Saanane ana be accussed for treason?
My take CDM inawezekana maana ya neno msaliti kuwa hukubaliani na misimamo ya watu manguli wanaokiweka chama mjini
Siasa chafu za Bavicha zitawamaliza.visasi majungu na fitina hizi zote zinatokana siasa za kuchumia tumbo.Vijana wamesoma hamtaki kujiajiri kisa mnasubiria kua mwenyekiti wa Bavicha.Image ya CDM imeanza kuchafukia kwa bavicha toka 2009 then 2011 na bado mwaka huu mtatoboana macho.
Uliza swali. Unataka kusema Kikwete na Rais huwa wanakutana? Teh teh namaanisha Rais wa Kamisheni ya Ngumi Tanzania sio wa JMTKwani wanakutana?
Kama unajua jina la Ben litatupwa kwenye taka kihere here cha nini kuweka thread humu? Upumbavu kama huu ndiyo unaoimaliza ccm yenu na hako ka malaya act.
Ben awe kiongozi asiwe kiongozi jina lake litabaki kwenye historia ya chama hiki, ameifanyia mambo makubwa. Kama siyo Ben Saanane kufichua nia ovu ya Zitto Kabwe kupitia PM7 chama kisingejua mapema kuwa kuna ugonjwa wa usaliti unaitafuna chama, kama siyo Ben Saanane mtandao wa masalia japo usingefanikiwa lakini kwa vyovyote vile ungesababisha chama kutumia nguvu kubwa kuponya madhara.
Leo hii tunayoona hasa baada ya Ben kuonekana jina lake linatajwa tajwa katika nafasi za juu za vijana, wale ambao kwa namna moja ama nyingine waliathirika kisiasa na kimapato baada ya Ben kusanua usaliti wao, ndiyo wanaomrushia mawe Ben kuwa eti ni hatari kwa bavicha mweeeee!!! Mnalipa visasi wakati mpo nje ya chadema duh!
Maauzi ya bavicha kwa nani atawafaa kuwaongoza yatafanywa na wajumbe halali wa bavicha, ni wao wataamua nani ni nani na kwa nafasi gani, siyo mapumbavu ccm na demu wao act ambalo leo linasherekea zawadi ya associate profesa wa usaliti Kitila..... jamaa na heshima zote lakini kisiasa hana tofauti na kinyesi
bado unampango wa kumuua zitto
Japo mimi sio Chadema na sina chama, ila tukubali tukatae, ukiondoa mapungufu yake ya kibinaadamu, (hakuna binaadamu mkamilifu), Ben Saanane, is the type of leaders BAVICHA, should have had long ago, and had it been, he had been there, BAVICHA would not have been the same again, it would have been far far ahead, by now CCM ingekuwa bize kukusanya kusanya kilicho chake kupisha njia!.
Thanks.
Pasco.
We jamaa ukimsifia mwana Chadema naanza kumtilia shaka huyo msifiwaji. We Pasco umeifitini sana Chadema offline ma wazi wazi. Hufai hata kidogo mnafiki wewe. Mipango yote ya kihuni ya Zitto na Kitila wewe ni mmoja wa waratibu halafu unakuja hapa kinafiki eti huna chama! Na CCM umemwachia nani?
jigoku,
Mwenyezi Mungu akupe Maisha Marefu.
Pia nawashukuru wote ambao mmesimamia principle.Jioni ya leo iwe ya kheri kwenu
Kama unajua jina la Ben litatupwa kwenye taka kihere here cha nini kuweka thread humu? Upumbavu kama huu ndiyo unaoimaliza ccm yenu na hako ka malaya act.
Ben awe kiongozi asiwe kiongozi jina lake litabaki kwenye historia ya chama hiki, ameifanyia mambo makubwa. Kama siyo Ben Saanane kufichua nia ovu ya Zitto Kabwe kupitia PM7 chama kisingejua mapema kuwa kuna ugonjwa wa usaliti unaitafuna chama, kama siyo Ben Saanane mtandao wa masalia japo usingefanikiwa lakini kwa vyovyote vile ungesababisha chama kutumia nguvu kubwa kuponya madhara.
Leo hii tunayoona hasa baada ya Ben kuonekana jina lake linatajwa tajwa katika nafasi za juu za vijana, wale ambao kwa namna moja ama nyingine waliathirika kisiasa na kimapato baada ya Ben kusanua usaliti wao, ndiyo wanaomrushia mawe Ben kuwa eti ni hatari kwa bavicha mweeeee!!! Mnalipa visasi wakati mpo nje ya chadema duh!
Maauzi ya bavicha kwa nani atawafaa kuwaongoza yatafanywa na wajumbe halali wa bavicha, ni wao wataamua nani ni nani na kwa nafasi gani, siyo mapumbavu ccm na demu wao act ambalo leo linasherekea zawadi ya associate profesa wa usaliti Kitila..... jamaa na heshima zote lakini kisiasa hana tofauti na kinyesi
Yaaan Ben Saanane Anaanzisha Thread Ya Kujipromote Hahahahaha Siasa Za Kitoto Hizi
Ben Saanane kachukue fomu watu tunakielewa sana kijana mwenzetu.. Keep going
ben saanane hafai kuongoza hata kuku..hana sifa za uongoz, kwanza ana kigugumiz
Mkuu Serikali Tatu, kwanza asante kwa kudhania hivyo unavyodhania, na hiyo ndio faraja yangu.We jamaa ukimsifia mwana Chadema naanza kumtilia shaka huyo msifiwaji. We Pasco umeifitini sana Chadema offline ma wazi wazi. Hufai hata kidogo mnafiki wewe.
Hili la uratibu wa mipango yote nakuachia wewe, unaonyesha unazo taarifa za ndani, kwa kawaida mimi huwa sihangaiki kujibu sana speculations za vitu ambavyo havipo!, vitu vya kubuni ambavyo sio reality!.Mipango yote ya kihuni ya Zitto na Kitila wewe ni mmoja wa waratibu halafu unakuja hapa kinafiki eti huna chama! Na CCM umemwachia nani?
tulikuja kutofautiana pale alipojichanganya na kwa kuwa snitch na kutumika kwanza kama ped., kisha kama dekio kwenye sakata la PM7. Naamini alikuja kugundua makosa yake na sasa amesimama imara!. Kuwakubali kwangu Zitto na Kitila hakuna maana kuwa Chadema hamna watu wazuri wengine, no, wapo wengi tuu ila sio lazima niwakubali!.