Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Victor wa Happy, kwanza asante, nakiri wazi mimi sio mtu mzuri hata kidogo, na hata alipokuja Masiya, ni kwa kupitia watu kama Pilato, alisulubiwa na ni kwa kuteswa kwake sisi tuliponywa!. Njia ya ukombozi ni ngumu nyembamba na yenye miiba na mbigiri kama ilivyo njia ya mbinguni!. Ni kwa kupitia watu ambao sio wazuri kama kina sisi ndipo Chadema itaweza kuonyesha uwezo!. Kuuimbia Chadema nyimbo za sifa na mapambio, hayawezi kuifikisha Chadema popote!.Pasco sio mtu mzuri,hana tofauti na kina msaliti zitto,et hana chama???? Liccm kaliacha?
[URL="https://www.facebook.com/dady.igogo" said:Dady Igogo[/URL];10334575]KUELEKEA BAVICHA.
(Kwanza - sigombei)
Ni hatari kwa chama kupata Kiongozi wa Taifa wa BAVICHA ambaye hana rekodi au uzoefu wowote wa uongozi wa ndani ya chama, wala hajawahi kushika nafasi ya ngazi ya msingi au tawi. Tunapoelekea kwenda kuchukua dola hatupaswi kufanya rehearsal ya uongozi muhimu wa juu kabisa kama nafasi ya Mwenyekiti wa BAVICHA. Hatupaswi kufanya majaribio ya nafasi muhimu kama Mwenyekiti ambaye atakuwa ni mjumbe wa kamati kuu ya chama, baraza kuu na mkutano mkuu kwa cheo chake. Hapaswi kuwa na rekodi ya usaliti ndani ya chama. Hapaswi kuwa na rekodi ya rushwa ndani ya chama, hapaswi kuwa mpenda makundi ndani ya chama, hapaswi kuwa amejitafutia umaarufu kwa kuattack personalities! Awe na rekodi ya uaminifu isiyo na shaka. Awe anafahamu ngazi za chini na matatizo ya vijana wa vijijini bali siyo lower and upper middle class pekee yake za Twitter, Instgram, FB na Jamii forum. NITAMPINGA YEYOTE AMBAYE ATAKUWA NA SIFA HIZO. WATU TUMEKAA JELA TUKIWA NA VITANDA VIZURI, TUMEPIGWA BARIDI TUKIWA NA BLANKETI, TUMELALA NJAA TUKIWA NA MAVUNO MENGI, TUKAKOSA FURSA ZAIDI KWA SABABU ZA BAVICHA. Tulianza kuijenga Bavicha kabla haijaanza bado ikiwa ni Kurugenzi ya Vijana 2006 nikiwa na Mnyika, Kinabo, Regia, Killian Nango, Kafulila.... Tuliandika Katiba ya Bavicha, Tulikesha kuandika Sera ya vijana, tulikesha na kukeshaaaaaaa....tukaanza kwenda Field... Leo watu wanataka Uenyekiti kwa kutumia IPad akiwa chumbani kwake na hawara yake akipost FB... Leo mtu anataka Uenyekiti haijui ngazi ya msingi zaidi ya kuisoma na kuinukuu kwenye Katiba... anataka Uenyekiti.... Bavicha ni zaidi ya FB na JF... ni zaidi ya comments na likes!!! ni zaidi ya kuomba muongozo kwa moderates u guys!! Ni taasisi imara... ni zaidi ya socio-media... ni zaidi... JITAFAKARINI KWA KINA SANA....
Nakupongeza sana comrade EPHATA NANYARO kwa kuchukua fomu za kugombea Bavicha Taifa. Sina Mashaka na uwezo, maadili na dhamira yakp ndani ya chama. Unakijua chama kwa udhati wake... Hauna rekodi ya usaliti wala rushwa ndani ya chama. Umekuwa Mwenyekiti wa Bavicha Mkoa wa Arusha, umekuwa Diwani uliyekataa kupokea rushwa na kununuliwa kipindi cha saga za wadiwani wasaliti. Ni kijana Mdogo unayeamibiwa, mwenye kujua ngazi za msingi, mwenye siasa zisizo na makundi, mwenye kujipatia kipato halali kama dai la maadili ya chama. Baba wa mke mmoja na mtoto Mmoja... Unayejua siasa za hoja, kujenga taasisi imara ya mitandao ya vijana vijijini na siyo tu kwenye JF na miongozo ya moderator... Hongera UPENDO PENEZA kwa nia yako... sina mashaka na uwezo wako, umadhubuti wako na uthubutu wako... wanawake mnaweza, wewe umeshaweza.... Hongereni wagombea wengine msio na rekodi ya usaliti... mnaohangaika kuweka mitandao ya chama vijijini kwa kushinda njaa, kupigwa jua.... Mtandao wa kishetani kamwe hautaashinda wale wenye nia njema... Mungu ameandika "mene mene tekel na Peres" Siyo wasafi, hawana rekodi ya usafi. Tuliwasamehe, tunajuaje kama ni mkatati wa himaya ya mtandao wa kishetani?
Bavicha msipompa uenyekiti Ben ntawashangaa sana.
Maranyingi inakua ni vizuri sana Ukiwa Unatumia kichwa kifikiri na si kikalio kufikiria kuna watu wanatumia Makalio kufikiria ni jambo baya sana
Mkuu Tutashinda, kauli huumba, na lisemwalo lipo kama halipo, linakuja!.Mtu huyu mwenye rekodi ya mwanamkakati wa Pm-7 alizaliwa 13/12/1983
From no where, jana nimetokea tuu kumkumbuka Ben Saanane, sikujua kwanini, hivyo nilipoamka nikaanza kupitia baadhi ya mabandiko humu ndipo nikakutana na bandiko hili la 2014, nilipolisoma ndipo nikagundua kumbe jana ndio tarehe ya kuzaliwa ya Ben Saanane.Japo mimi sio Chadema na sina chama, ila tukubali tukatae, ukiondoa mapungufu yake ya kibinaadamu, (hakuna binaadamu mkamilifu), Ben Saanane, is the type of leaders BAVICHA, should have had long ago, and had it been, he had been there, BAVICHA would not have been the same again, it would have been far far ahead, by now CCM ingekuwa bize kukusanya kusanya kilicho chake kupisha njia!.
Thanks.
Pasco.
HBD jembe, He has left us with may almight God comfort his family.From no where, jana nimetokea tuu kumkumbuka Ben Saanane, sikujua kwanini, hivyo nilipoamka nikaanza kupitia baadhi ya mabandiko humu ndipo nikakutana na bandiko hili la 2014, nilipolisoma ndipo nikagundua kumbe jana ndio tarehe ya kuzaliwa ya Ben Saanane.
Happy Birthday Ben Saanane.
P
Najikumbusha Ben Saanane!.Japo mimi ni mwanachama wa chama cha siasa lakini sio Chadema, ila tukubali tukatae, ukiondoa mapungufu yake ya kibinaadamu, (hakuna binaadamu mkamilifu), Ben Saanane, is the type of leaders BAVICHA, should have had long ago, and had it been, he had been there, BAVICHA would not have been the same again, it would have been far far ahead, by now CCM ingekuwa bize kukusanya kusanya kilicho chake kupisha njia!.
Thanks.
Pasco.
Enzi hizoNenda kamwambie baba yako.