Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Tetesi zinadai dhalimu mwendazake ndiye aliyemuua kwa mkono wake sehemu TAKATIFU na hiyo sehemu takatifu inadaiwa ipo ndani ya Ikulu. Ipo siku labda mauaji ya Ben Saanane yataanikwa hadharani.
Kwa mkono wake??

Are you serious?
 
Jiwe limekufa kwa aibu lilidhani litaishi milele kwasababu eti liliteuliwa na NEC. Tulimuachia Mungu angalia alivyokufa kiboya kwa kuzungushwazungushwa na machela mara Nairobi mara sijui wapi? Sasa hivi yuko kuzimu anachezea vitasa vya kutosha.
 
Mahita na Goodluck
 
Damu yake haitopotea bure.
Itaendelea kutafuna kizazi na kizazi
 
Huu ni mwaka wa tano tangu Ben Saanane apotee.
 
Hawa watoa kafara kwa mungu wao lusifa yafaa Sana walijue hili sio kila damu ni ya kutoa kafara ona sasa imeback fire 🔥.
 
Nimesoma tena hii. Machozi Yemenitoka. Huyu ndugu Mungu amrehemu huko aliko, ukweli ni kwamba alichatabiri ndicho kilichotokea. Sabaya kwa sasa yuko magereza anatumikia kifungo. Yule Dar naye ni mtupu kabisa. Hana madaraka tena, haujui kesho yake. Yuko kwenye sonona kubwa. Najua kuna wakati Ben unawajia usiku na kusema nao, si ajabu wanalia sana na kujutia madhila yao haya. Ni bahati mbaya kwamba hawawezi tena kukurudisha duniani.
Moja tu la muhimu, waliobaki wajifunze kupitia damu yako hii uliyotoa kwa ushujaa mkubwa sana.
 
Aliyepo kwenye sekta ya kuchoma moto aongeze kuni za mpingo kwa dhalimu, katili nduli na muuwaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…