Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Damu ya mtu haiendi bule jiwe hawez ku deal na watu wadogo sana kama hao kuna watu walitumia mwanya huo kumpoteza mwamba
 
Ben acha huu upotoshaji kama unajiita wewe kidume basi endelea ila mimi ni shahidi ndani ya mtandao huu umeshaonywa sana.
Ila mimi nataka kukutabiria jambo. Kama kweli hutobadilika nakuendelea na hii mambo basi kifo chako hutopata nafasi kuja kuandika humu na kwa bahati mbaya watu watakuwa wameshasahau sana sana watajuwa umekufa kama binadam wengine ila kumbuka huna uharakati wowote my dia hata punje ya Dr Ulimboka huna sasa jiangalie usitafute umaarufu wakati kifaru kiponjiani unakizuia kisipite kwa mwili wa nyama utakufa na hao unao walaani wala haiwapati... Take care this is a nation kaa mbali
Duh...!.
P
 
Mkuu wewe bado unaishi??
 
Aisee
 
Back
Top Bottom