kibol
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 4,636
- 2,885
At least he stood for what he believe to the end, he paid the price dearly, rest in peace Ben rabiu focus wa Sanane, one of the finest brain this country as ever have.Pole Kwa Wanafamilia ya Ben
At least he stood for what he believe to the end, he paid the price dearly, rest in peace Ben rabiu focus wa Sanane, one of the finest brain this country as ever have.Pole Kwa Wanafamilia ya Ben
Aiseeduh, hizi kiki hizi! unajitumia SMS ili uje uandike makala zisomwe na watu wengi
9 years goneSafari inaendelea. Vitisho. Haya ndiyo maisha yetu ya Kila siku. Mengine tumetoa Ripoti Polisi huko
Kuna watu hawa miongoni mwa wengi. Yeye anaandika "Ben Saanane unachokitafuta ndani ya Serikali hii utakipata. Kwa elimu na uwezo wako hatukutarajia ungefikia hatua ya ajabu kwa namna uliyofikia.
Hujiulizi kwanini upo huru hadi muda huu You are too young to die. Tunajua utaandika na hili. Andika lakini the next post hutaandika ukiwa na uhuru wa kutosha. Andika but your days are numbered. Unajua kuna rafiki yako alipuuza na hutaki kuandika kuhusu yeye labda kwa kuwa alitangulia. Andika Ben. Andika sana, ongea. Sema lakini utajikuta mwenyewe na chatu"
He's such a coward. Muoga. Muaji anayejitangaza nae ana hofu tupu
Nimemshukuru lakini nimemjibu kwa namba yake hii 0768797982 ambayo ipo polisi.
Haya tunasonga mbele Watanzania. Kama ni Uchochezi sidhani kama upo uchochezi mkubwa zaidi ya huu.
As long as tupo hai, Sauti zetu hazitakoma. Tutaandika, Tutasema, Tutahutubia na tutafanya vitendo
Kitu kimoja tu cha hakika ni kuwa Damu ikimwagika hasa damu ya kimapinduzi hutoa mvuke utakaonyesha na kutiririsha mafuriko katikati ya mito na vijito vya haki. Kama itanyesha mvua ya Radi basi itaambatana na mwanga na cheche zitakazowamulika walaghai, watesaji, wakandamizaji wa hakiWatetezi wa haki watapata mwanga katikati ya giza tororo la Unyanyasaji, unafiki na ubakaji wa taaluma na dhamiri zao kitaaluma na kiimani.
Yesu Kristu aliishi miaka 33 tu duniania. Nina Mwaka Mmoja bado. He fought the right cause. Alikuja Duniani kimungu. Kila mtu anaishi kutokana na makusudi ya Mungu. Mwenyezi Mungu huruhusu kila jambo kwa makusudi yake. Sisi ni akina nani tukatae makusudi yake? Hatukujileta Duniani na hatutaishi milele.
Wasichojua watu hawa ni kuwa nilizaliwa na kubatizwa hatari siku hiyohiyo kama Mkatoliki. Ubatizo wa kifo(Hatari) 13 Desemba miaka hiyo, nikapona kwa fadhila zake Muumba. Nimepata fadhila sana Machoni pa Mwenyezi Mungu hadi muda huu. Wanajisumbua! Nimeishi beyond that favour
Oh nakupenda mpenzi wangu Tanzania. I love you more than words can wield the matter, dearer than eyesight, space and Liberty. Oh I love you Tanzania. My Pride, My fountain of inspiration."
Mlale salama marafiki zangu wapendwa.
Mapambano na Yaendelee, Ushindi U Dhahiiri (Aluta Continua, Victory Ascerta)
Pumzika kwa amani Rafiki yangu kipenzi Alphonce Mawazo. Hukukopa, Ulijiandaa kulipa gharama. Ukalipa Deni. Tunasonga Mbele! Nitalitaka Jeshi la Polisi liunganishe ujumbe uliotumwa na kifo chako katika hatua za uchunguzi.
Ben Saanane
Wewe mtutsi kifo ni cha kila mtu hata wewe utakufa tu. Afadhali Magufuli amekufa na bado anakumbukwa kwa mazuri na Watz waliowengi lakini wewe ukifa hata sisimizi hawezi kukumbuka kwa sababu hakuna lolote ulilofanya hapa TZ la maana labda huko kwenu Rwanda.Tunaomba makala ya hilo gazeti Sukuma gang.
Na utueleze kwanini namba ambayo Ben Saanane aliiweka hapa haikuwahi kufanyiwa uchunguzi na hata alipopotea siku chache tu namba yake ilikuwa ikitumiwa na mtu mwingine ilhali ilitakiwa iwe katika uchunguzi.
Hakuna mahali popote serikali dhalimu ya mwendawazimu wa Chato ilichukua kuhakikisha huyu kijana familia yake inapata haki .
Mimi naona kifo cha yule mwendawazimu kilikuwa na faida nyingi kuliko hasara kwa Tanganyika.
Akili bila maarifa haikusaidii, Mungu ametuambia " watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" Yule dogo malezi yake yalichangia, hakuheshimu wakubwa alikuwa na kiburu kisa msomi. Biblia yatuambia "tiini mamlaka zilizopo maana zote zatoka kwa Mungu" Rais anaongoza watu zaidi ya 60M na amechaguliwa we lofa moja kwa kuwa humpendi unampandikia kila tusi, kila uzushi, kila uwongo, kila upotoshaji, unajaribu kuleta uchochezi, utashughulikiwa tu na dola hiyo ni tangia zamani ht leo hakuna sehemu utafanya huo upuuziAt least he stood for what he believe to the end, he paid the price dearly, rest in peace Ben rabiu focus wa Sanane, one of the finest brain this country as ever have.
Mimi sio mtutsi wala mhutu aliyekuwa mhutu ni dikteta uchwara Magufuli, kama unampenda sana afande omba nafasi ukalinde kaburi lake pale Chato bure maana ule uwanja wa ndege alioiba 1.5 T kuujenga watu wameutelekeza na soon wasukuma wataanza kuanikia michembe.Wewe mtutsi kifo ni cha kila mtu hata wewe utakufa tu
Anakumbukwa kwa mazuri yepi afande wa division 4?. Afadhali Magufuli amekufa na bado anakumbukwa kwa mazuri na Watz waliowengi lakini wewe ukifa hata sisimizi hawezi kukumbuka kwa sababu hakuna lolote ulilofanya hapa TZ la maana labda huko kwenu Rwanda.
Mavi ya kunguniMimi sio mtutsi wala mhutu aliyekuwa mhutu ni dikteta uchwara Magufuli, kama unampenda sana afande omba nafasi ukalinde kaburi lake pale Chato bure maana ule uwanja wa ndege alioiba 1.5 T kuujenga watu wameutelekeza na soon wasukuma wataanza kuanikia michembe.
Anakumbukwa kwa mazuri yepi afande wa division 4?
Uzi huu ndio mazuri ya kukumbukwa kwa huyo kichaa?
Uzi huu unajadili mazuri kwa akili yako?
Mleta mada aliyetoa malalamiko ya kutishiwa kuuwawa na serikali dhalimu ya huyo mwehu wenu alipokufa mlisikitika?
Kuna hatua yoyote serikali ilichukua?
Basi kama hawakusikitika na wengine hatuwezi kusikitika muuwaji na dikteta akifa.
March 17 mwaka huu ni sherehe kwa watanzania tuliokuwa tukichukia uonevu nyie wapokea amri endeleeni kumkumbuka maana mnaishi kwa kiapo cha utii ila sio utashi wa akili zenu.
Hasira za vyeti feki kutumbuliwa🤣🤣🤣🤣Mimi sio mtutsi wala mhutu aliyekuwa mhutu ni dikteta uchwara Magufuli, kama unampenda sana afande omba nafasi ukalinde kaburi lake pale Chato bure maana ule uwanja wa ndege alioiba 1.5 T kuujenga watu wameutelekeza na soon wasukuma wataanza kuanikia michembe.
Anakumbukwa kwa mazuri yepi afande wa division 4?
Uzi huu ndio mazuri ya kukumbukwa kwa huyo kichaa?
Uzi huu unajadili mazuri kwa akili yako?
Mleta mada aliyetoa malalamiko ya kutishiwa kuuwawa na serikali dhalimu ya huyo mwehu wenu alipokufa mlisikitika?
Kuna hatua yoyote serikali ilichukua?
Basi kama hawakusikitika na wengine hatuwezi kusikitika muuwaji na dikteta akifa.
March 17 mwaka huu ni sherehe kwa watanzania tuliokuwa tukichukia uonevu nyie wapokea amri endeleeni kumkumbuka maana mnaishi kwa kiapo cha utii ila sio utashi wa akili zenu.
Vipi mbona wewe hujauwawa?Mimi sio mtutsi wala mhutu aliyekuwa mhutu ni dikteta uchwara Magufuli, kama unampenda sana afande omba nafasi ukalinde kaburi lake pale Chato bure maana ule uwanja wa ndege alioiba 1.5 T kuujenga watu wameutelekeza na soon wasukuma wataanza kuanikia michembe.
Anakumbukwa kwa mazuri yepi afande wa division 4?
Uzi huu ndio mazuri ya kukumbukwa kwa huyo kichaa?
Uzi huu unajadili mazuri kwa akili yako?
Mleta mada aliyetoa malalamiko ya kutishiwa kuuwawa na serikali dhalimu ya huyo mwehu wenu alipokufa mlisikitika?
Kuna hatua yoyote serikali ilichukua?
Basi kama hawakusikitika na wengine hatuwezi kusikitika muuwaji na dikteta akifa.
March 17 mwaka huu ni sherehe kwa watanzania tuliokuwa tukichukia uonevu nyie wapokea amri endeleeni kumkumbuka maana mnaishi kwa kiapo cha utii ila sio utashi wa akili zenu.
Si Bora ingekuwa kutumbuliwa!!!😁😁😁Hasira za vyeti feki kutumbuliwa🤣🤣🤣🤣
Kikosi chenu cha mauaji kilikufa na huyo boss wenu mwendawazimu.Vipi mbona wewe hujauwawa?
Aliyekuwa na cheti feki ni yule aliyeogopa kuhojiwa uhalali wa PhD yake hadi huyu mleta mada akauwawa, sasa unaanzaje kwenda kutumbua wenye elimu ya kubabaisha ilhali wewe hujathibitisha kwa kukubalu tasnifu yako ionekane kwa maslahi ya umma.Hasira za vyeti feki kutumbuliwa🤣🤣🤣🤣
Waite wafanya usafi wazoe ukimaliza kalinde kaburi pale Chato.Mavi ya kunguni
Vipi kibao nae aliuwawa mwaka Gani na wakod1 soka na wenzie wamepotea mwaka ganiKikosi chenu cha mauaji kilikufa na huyo boss wenu mwendawazimu.
Wewe shoga tu ndio tatizo linalokusumbua.Kikosi chenu cha mauaji kilikufa na huyo boss wenu mwendawazimu.
Huyo mleta mada maiti yake imezikwa wapi baada ya kuuwawa ndugu mchangiajiAliyekuwa na cheti feki ni yule aliyeogopa kuhojiwa uhalali wa PhD yake hadi huyu mleta mada akauwawa, sasa unaanzaje kwenda kutumbua wenye elimu ya kubabaisha ilhali wewe hujathibitisha kwa kukubalu tasnifu yako ionekane kwa maslahi ya umma.
Hadi leo hakuna mahali tasnifu yake inapatikana pale UDSM.
Mwisho tu nikueleze sijawahi kuwa mtumishi wa umma Tanzania hivyo sakata la vyeti bandia halinusu kwa namna yoyote ile.
Hatujamaliza ya Magufuli unataka kuhamia kwa mama Abdul?Vipi kibao nae aliuwawa mwaka Gani na wakod1 soka na wenzie wamepotea mwaka gani
Wewe ni shoga ndio maana unamchukia Magufuli kwa sababu aliwazuia mchezo wenu.Aliyekuwa na cheti feki ni yule aliyeogopa kuhojiwa uhalali wa PhD yake hadi huyu mleta mada akauwawa, sasa unaanzaje kwenda kutumbua wenye elimu ya kubabaisha ilhali wewe hujathibitisha kwa kukubalu tasnifu yako ionekane kwa maslahi ya umma.
Hadi leo hakuna mahali tasnifu yake inapatikana pale UDSM.
Mwisho tu nikueleze sijawahi kuwa mtumishi wa umma Tanzania.