Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,138
Kweli siasa mchezo mchafu. Whats wrong na hii sirikal ya awamu hii
Kwa kwl man hii ni hatari Sana naona sheria inageuka na kuwa panga likatalo sehem moja sio tena msumenoSiku zote suluhu ya Mtu asiyejiamini ni kutopambana kwa hoja anataka kuutafuta uhai wa mpinzani wake. Long Live Ben. Mi nadhani ile sheria ya Makosa ya mtandao ioneshe mashiko yake hapa na so kwa wale wanaogusa maslahi ya watawala tu.
Ova!
Ni kawaida. Ukisoma types of government na features zake utajua sisi tunaangukia wapiKwa kwl man hii ni hatari Sana naona sheria inageuka na kuwa panga likatalo sehem moja sio tena msumeno
Si uwasiline na muuaji mkuu kuna no yake pale. Usipinge tu moja kwa moja. Lisemwalo lipo mkuu
Kuhisi ni HAKI yako iwe umekosea au haujakosea.
Je na Mimi nikihisi kuwa yawezekana hili jambo limeratibiwa kiufundi kabisa kuwa itafutwe namba hata ya Mtu ambaye ni Marehemu kafariki tu ghafla kisha uandikwe ujumbe kama huo ili tu kutafuta " KIKI " kisha watimize lengo lao la kuendeleza propaganda zao nitakuwa nimekosea?
.
Siyo UKAWA peke yake. We haukusikia majuzi kuna mtu alipandishwa kizimbani kwa "kumtishia" Magu kwamba atampindua? Hiyo nayo ilikuwa movie?Haha movie za ukawa zimeshaanza. Aisee hawa watu hawaishi vioja.
Mkuu,Haha movie za ukawa zimeshaanza. Aisee hawa watu hawaishi vioja.
Kuwasilia na aliyekutumia meseji ya vitisho sio jambo la busara hasa kama hujui ni nani aliyekutumia. Kama ni mgonjwa wa akili utakuwa umempa attention ambayo anaitafuta na kuweza kufanya kweli.Si uwasiline na muuaji mkuu kuna no yake pale. Usipinge tu moja kwa moja. Lisemwalo lipo mkuu