Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mnaobeza vitisho msisahau kuwa kuna watu walitishiwa na kweli ya kuwapata yaliwapata, wengine kwa kuwa hawakuandikiwa kufa walipona.
Kwanza yuko wapi huyu kaka yangu jamaniHivi waliomdhuru Dr. Ulimboka walifanyaje?
Hivi hii Leo Ben saane atishiwe uhai wake kisa anaandika propaganda humu JF na FB, je wakina lisu, heche na wengine wanaosema hadharani kwanini wasitishwe huu ni uongo wa kupikwa wa hali ya juuh kabisaa! Hivi hawa kama waliweza ku edit picha za mafuriko kipindi cha kampeni 2015 ili waonekane wana watu wengi watashindwaje kutengeneza mizengwe za vitisho ili ionekane wanatishwa Mimi siliamini ata kidogo hawa vijana yafaa kuwapuuza kabisaa

I concur with youmh....hivi hii kitu ni kweli?
it just sounds too real to be true!
It merely political stunt, ivi asitishiwe Mbowe au Lissu aje atishiwe yeye! mtu ambaye ajulikani kabisa.Si uwasiline na muuaji mkuu kuna no yake pale. Usipinge tu moja kwa moja. Lisemwalo lipo mkuu
Labda uvccm wapenda sifaIt merely political stunt, ivi asitishiwe mbowe au Lissu aje atishiwe yeye! mtu ambaye ajulikani kabisa
Na hili ndio swali kila mtu anapaswa kujiuliza.Ni kweli kabisa Mkuu.
Hebu niulize swali moja, hivi wale jamaa waliomwua Alphonce Mawazo kule Geita walishawahi kukamatwa na Jeshi la Polisi na kufikishwa mahakamani?