Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Msaliti hana sehem ndani yaa taifa hili. Don't waste your time tafuta huruma yaa jamii nakuweka namba zisizokuwepo kwenye mitandao. Hilo Ni taifa letu site na wasaliti hawana nafasi kuvuta pumzi hii nzuri Mungu aliwapa wa zalendo na sio wasaliti.
Narudia tena usipoteze muda wa watu kusoma mambo haya yasio na vina ukizingatii husemi ukweli kile unafanya gizani na kwa nini unayofanya gizani yasiwe giza la milele la maisha yako.....
Sema ukweli.....
 
Ben acha huu upotoshaji kama unajiita wewe kidume basi endelea ila mimi ni shahidi ndani ya mtandao huu umeshaonywa sana.
Ila mimi nataka kukutabiria jambo. Kama kweli hutobadilika nakuendelea na hii mambo basi kifo chako hutopata nafasi kuja kuandika humu na kwa bahati mbaya watu watakuwa wameshasahau sana sana watajuwa umekufa kama binadam wengine ila kumbuka huna uharakati wowote my dia hata punje ya Dr Ulimboka huna sasa jiangalie usitafute umaarufu wakati kifaru kiponjiani unakizuia kisipite kwa mwili wa nyama utakufa na hao unao walaani wala haiwapati... Take care this is a nation kaa mbali
 
Huyu ben saa nane muongo kama viongozi wake wanataka kuanza kama enzi za akina zitto akiwa chadema yeye mwenyewe ben walikuwa wanajiteka halafu wanasema wametekwa.
Hivi nyinyi maccm mkoje?

Utamuitaje Bensaanane muongo wakati ametaja hadi simu na 0768..... ambayo imetuma hizo text messages za kumtishia maisha?

Kwa nini wewe Kada wa rangi ya kijani usiliachie Jeshi la Polisi likaendelea na uchunguzi wa tukio hilo ambalo tayari limesharipotiwa kwao?

Ushauri wangu kwa Polisi, ingekuwa vyema kumtia mbaroni Simiyu Yetu ili alisaidie Jeshi hilo kwa uchunguzi wa tukio hilo.
 
Do him a favour kwa kutolifanya ushindani wa CCM na Chadema!
 
Hitman afanyi kazi kibwege hivo yaani akupe taarifa wewe nani, halafu hakuna cha ajabu na ulichoandika ambacho kinaweza kuifanya serikali itetereke
After all Tanzanian we don't kill for nothing sana sana tuna kutesa kisaikolojia tu.
Tatizo ni kwamba huyo anayewatuma hitman na hitman wenyewe wanatumia mbinu za kizamani.
 
Endapo tutasema imetengenezwa na upinzani mtabosha vipi? Namba zinatengenezwa tu na watu, iko vere simpo, na huu uzi unakuja baada ya mtu fulani ktk JF kuuliza yu wapi Ben Saanane, kituko!!
 
Ben acha huu upotoshaji kama unajiita wewe kidume basi endelea ila mimi ni shahidi ndani ya mtandao huu umeshaonywa sana.
Ila mimi nataka kukutabiria jambo. Kama kweli hutobadilika nakuendelea na hii mambo basi kifo chako hutopata nafasi kuja kuandika humu na kwa bahati mbaya watu watakuwa wameshasahau sana sana watajuwa umekufa kama binadam wengine ila kumbuka huna uharakati wowote my dia hata punje ya Dr Ulimboka huna sasa jiangalie usitafute umaarufu wakati kifaru kiponjiani unakizuia kisipite kwa mwili wa nyama utakufa na hao unao walaani wala haiwapati... Take care this is a nation kaa mbali
Huwezi kuamini kwamba tunao watu wajinga, wapumbavu na waliosinyaa kama huyu TumainiEl...sijui tuna laana gani Tanzania kuwa na raia wa nchi hii walio waovu kiasi hiki. Unadhani wewe huwezi kufa? Unadhani utaishi milele? Shenzi waahedi.
 
Umeharakisha sana kufikia hitimisho hilo, usichokifahamu au unajifanya kutofahamu ni kwamba wa leo si wa juzi, wa leo wanaona fahari kujulikana. Lakini si yapo matukio ambayo yalifanywa na watu wa namna hiyo kwa uwazi kabisa? Tunashangaa nini katika hili, au na sisi ni miongoni mwao? Rekodi zipo hazijafutika!
 
Wewe unapoteza muda wako na mihemko ya kitoto.

Acha kutumika wenzio wapiga dili wote
 
Back
Top Bottom