comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Yote hii ilikua kupigania chadema ya mbowe CCM B
oohYote hii ilikua kupigania chadema ya mbowe CCM B
Hivi sasa unajisikiaje nafsini mwako?
Muuaji. Unajiskiaje baada ya kutekeleza mauaji ya BenBen acha huu upotoshaji kama unajiita wewe kidume basi endelea ila mimi ni shahidi ndani ya mtandao huu umeshaonywa sana.
Ila mimi nataka kukutabiria jambo. Kama kweli hutobadilika nakuendelea na hii mambo basi kifo chako hutopata nafasi kuja kuandika humu na kwa bahati mbaya watu watakuwa wameshasahau sana sana watajuwa umekufa kama binadam wengine ila kumbuka huna uharakati wowote my dia hata punje ya Dr Ulimboka huna sasa jiangalie usitafute umaarufu wakati kifaru kiponjiani unakizuia kisipite kwa mwili wa nyama utakufa na hao unao walaani wala haiwapati... Take care this is a nation kaa mbali
unajisikiaje ukisoma huu upupu wako bro?umeshapata hata wasaa wa kutubu?Huyu ben saa nane muongo kama viongozi wake wanataka kuanza kama enzi za akina zitto akiwa chadema yeye mwenyewe ben walikuwa wanajiteka halafu wanasema wametekwa.
👆 Jinai haifi ,siku TZ ikipata Uhuru mpya ,watu wote waliouawa kuanzia kipindi cha JPM hadi Utawala wa Mwisho kabla ya Uhuru halisi mafile yao yafufuliwe ijulikane nani aliyetekeleza na kama watakuwa hai washitakiwe kama alivyohukumiwa Jamaa aliyemuua 2PAC miaka 30 iliyopita.Ben acha huu upotoshaji kama unajiita wewe kidume basi endelea ila mimi ni shahidi ndani ya mtandao huu umeshaonywa sana.