Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,583
- 42,992
Nyie ndio mtakufa vibaya sana nyieSoma post zake mwanzo tu.
Kuna binti aliwahi kushitaki hapa zamani sana walizurumiana India huko.
Nyie ndio mtakufa vibaya sana nyieSoma post zake mwanzo tu.
Kuna binti aliwahi kushitaki hapa zamani sana walizurumiana India huko.
Nife mara ngapi? Nishakufa zamani we Relax panya weweNyie ndio mtakufa vibaya sana nyie
Ur anusNife mara ngapi? Nishakufa zamani we Relax panya wewe
Good boy!Ur anus
AiseeTulimwambia hapa aache ujuaji.
Kitambo tu hakusikia yakamkuta yaliomkuta.
mkuu u hali gani?Huyu ben saa nane muongo kama viongozi wake wanataka kuanza kama enzi za akina zitto akiwa chadema yeye mwenyewe ben walikuwa wanajiteka halafu wanasema wametekwa.
mkuu,u hali gani?Hivi Ben weee umeandika lipi lenye negative impacts kwa serikali ya Magu?
I think unatafuta umaarufu ambao ni cheap.
safi sana mkuu!Kutishia maisha ya mwanadamu mwenzako kwa siasa, sio tabia zetu Tanzania. If there is any iota of truthness in this posting of Ben , than ni lazima tusimame nae pamoja na kuitaka serekali ichukue hatua kuhakikisha jambo hili linafuatiliwa na haki inatendeka.
We have the rest right to disagree, japokuwa me n Ben do not have the same political visions, siungi mkono vitisho anavyo fanyiwa period.
Dah mtu anatishiwa uhai wewe unakuja kumkebehi,yu wapi sasa ben saanane?Ben, una uhakika gani kuwa huyo aliyekutishia ni mtu kutoka serikalini? Isije ikawa umechezewa tu na vijana wa mtandaoni nawe umekimbilia huku kutafuta kiki. Nijuavyo mimi hakuna hitman mjinga aandike vitisho hivyo na namba ya simu juu.
Daima kumbuka kuwa ili chuma kiwe imara ni lazima kipite kwenye fukuto. You will be OK na huko mbele utakuwa mpinzani aliyekomaa. Siasa zina gharama. Good luck!
Huyo member nae alishafariki pia , kwa kipindi hicho Magufuli apologists akiwemo huyo member ulikua huwaambii kitu kuhusu kupotea watu wao waliamini ndio wana funguo za uhai wa maisha ya watu na wakitaka kukuondoa tu wanaweza kufanya muda wowote wawezavyo na hakuna wa kuwaulizamkuu u hali gani?
Upo sahihi mkuu lakini hii dhana inamgogoro,Huyo member nae alishafariki pia , kwa kipindi hicho Magufuli apologists akiwemo huyo member ulikua huwaambii kitu kuhusu kupotea watu wao waliamini ndio wana funguo za uhai wa maisha ya watu na wakitaka kukuondoa tu wanaweza kufanya muda wowote wawezavyo na hakuna wa kuwauliza
Leo hii ni mwaka wa 10 Ben alishafariki , na Kabendera aliweza kutueleza namna gani Ben aliuwawa kikatili na sasa Magufuli amefariki na huyo member nae aliyekebehi hapo naye amefariki.
Ni somo kubwa tunatakiwa tulipate kuwa uhai wa mtu hauthaminishwi na daraja la kilomita 10, wala barabara ya lami, wala reli ya mwendokasi.
Mimi siungi mkono hii kauli ya Makamba, ninachoamini kila mtu atakufa awe mwema au awe mkatili , nilichomaanisha ni kuwa hao makatili wanaoua watu huwa wanajisahau sana kwamba wakidhani wao wataishi daima.Upo sahihi mkuu lakini hii dhana inamgogoro,
Wema hawafi? wenye kuhurumia wengine hawafi?
Nimekujibua kwa kirefu hapo juu mkuu.KWanini muovu au mtu anayechekelea uovu akifariki baada ya muda mfupi hua jama ni furaha ? Wakati katika kipindi hiko wema nao wanakufa?
Mimi siungi mkono hii kauli ya Makamba, ninachoamini kila mtu atakufa awe mwema au awe mkatili , nilichomaanisha ni kuwa hao makatili wanaoua watu huwa wanajisahau sana kwamba wakidhani wao wataishi daima.
Mimi nakupa mfano rahisi tu mkuu , Polepole pale alipokua amekaa kavamiwa kapigwa na kuuwawa tumeona michirizi ya damu tu.
Anakuja mtu na hoja kwamba hakuwepo Tanzania mara alirudi lini, hivi mkuu kama mama yake anawaambia mwanae alikuwepo pale siku zote na tunaona hadi meza , kiti na vitu kadhaa ambavyo amewahi kuonekana navyo bado mtu anasimama na kusema yupo kajificha Sweden na ni mwezi wa 3 sasa familia inamtafuta?
Ukinisoma hapo vizuri utaelewa kwamba huu mtindo ulioanzishwa wa kuteka na kuua watu sio mzuri , hao walioenda kumteka na kumuua walitumwa wamemaliza kazi wamelipwa , nini kinafuata hizo pesa zitawasaidia kununua oxygen ya kutosha wasiwahi kufa??
Jibu ni hapana , ni lazima kama nchi watu wote waamke na wawe sober kukataa huu upuuzi mtu kama amekosea afikishwe kwenye vyombo vya sheria na si kumuua , mimi sioni sababu ya kumuua mtu ili mawazo yake aidha yawe mazuri au mabaya yasisikike .
Mimi nimefanikiwa kufika katika nchi kadhaa na kuona jamii zilizoathirika kwa madhara ya visasi vya vizazi hadi vizazi hilo ninakuhakikishia kwa wanaoona kwa sasa sawa kupoteza watu watawaachia mbeleni mzigo wa mateso watoto hadi wajukuu zao mimi nimeshuhudia baadhi ya koo zikifutwa kabisa uzao mzima kwa sababu ya kulipia madhila waliyotenda watangulizi wao wa kifamilia , hivyo kama haya mambo yanaonekana kawaida mbeleni muda utakua hakimu mzuri kutupa majibu na huenda hizi familia zinazoonekana zina nguvu na kila kitu kutishia watu na kuwaua usalama wao utakua kwa kuomba hifadhi na kuhama kabisa nchi.
Hivyo hii habari ya kutekana na kuua watu wala siikubali hata kidogo iwe leo kesho hata keshokutwa.
Nimekujibua kwa kirefu hapo juu mkuu.
Ulishawahi kuwasikia hao jamaa wanavyotamba?Kuhisi wanaofanya maovu hawajui kama na wao watakufa ni dhana potofu
Ulishawahi kuwasikia hao jamaa wakitamba?
Nenda kasikilize mahojiano ya Mello na Khalifa.
Kwa maoni yako uko sawa kwao si sawa.Wasipotamba wanabadilisha chochote?
Unafikiri watu walifikaje hapo kuanza kushangilia vifo vya wanaccm, polisi na watu wanaohusishwa na hicho chama?Imagine watu wanasikia gari la polisi limepata ajali wanashangilia kweli kweli,
Unauhakika gani pale kama hakuna polisi wema na waliokua wanasupport mapambano?
Ndio maana nikasema tatizo wakati limeanza kumea mizizi lilitakiwa serikali ichukue hatua .Akifa tunayempenda sisi unasikia masikini alikua na watu wanamtegemea, wale polisi tunauhakika gani hakuna watu wanaowategemea?
sasa ndo naweza kukuunga mkonoUkifikiri kwa kina utajua kabisa hilo tatizo halina muda mrefu na chanzo chake kinajulikana na watu nao wakaja na njia ya kutolea machungu yao.
Hivi sasa unajisikiaje nafsini mwako?Huyu ben saa nane muongo kama viongozi wake wanataka kuanza kama enzi za akina zitto akiwa chadema yeye mwenyewe ben walikuwa wanajiteka halafu wanasema wametekwa.