Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Unauliza kaburi la mtu aliyeambiwa atatupwa kwenye chatu?

Unataka mimi nijue kaburi la Ben lilipo watu wanaowawa kwa order za serikali wangapi hatujawahi kujua makaburi yao yalipo?

Hapo hakuna logic yoyote kwenye swali lako , Ben aliuwawa na kuhusu kaburi tuwaulize watekaji kina Tumainiel
Sawa leta picha ya maiti ya Ben saa nane kabla ya kutupwa kwenye chatu🤣🤣🤣🤣
 
Sawa leta picha ya maiti ya Ben saa nane kabla ya kutupwa kwenye chatu🤣🤣🤣🤣
Sioni haja ya kuendelea kupoteza muda kujadiliana na wewe ilhali kila kitu kipo wazi na wenye akili wameelewa wewe endelea kuweka emoji za vicheko nadhani ndio vitu unavyoweza.

Naamini familia ya Ben Saanane walipata justice March 17 , 2021 kama wapenda haki wengine waliochukizwa na utawala dhalimu.
 
Sioni haja ya kuendelea kupoteza muda kujadiliana na wewe ilhali kila kitu kipo wazi na wenye akili wameelewa wewe endelea kuweka emoji za vicheko nadhani ndio vitu unavyoweza.

Naamini familia ya Ben Saanane walipata justice March 17 , 2021 kama wapenda haki wengine waliochukizwa na utawala dhalimu.
Hahaha mzee leta picha ya maiti ya Ben saa nane maana umesema kauwawa hasira za nini 😂😂😂😂😂
 
Huwa nachukia kuona Mwafrika anamua Mwafrika mwenzake, kisa utawala, pesa, dhuluma au wizi.

Kama mtu amekukosoa kwa hoja kwa nini na wewe usimjibu kwa hoja?

Raisi wa nchi husika, mtu kama Ben ni mtoto mdogo sana, haikupaswa kujibizana naye, coz hata kukaa kimya pia ni jibu tosha kwa mpiga kelele mitandaoni.

Umechukua uhai wake na wewe wamechukua uhai wako.

Ukipanda uovu utavuna uovu, pia ukipanda mema utavuna mema.

Maisha ni mafupi sana, Dunia ni mahali pa kupita tuishi kwa hofu ya Mwenyezi Mungu. R.I.P Ben Saanane.​
 
Huwa nachukia kuona Mwafrika anamua Mwafrika mwenzake, kisa utawala, pesa, dhuluma au wizi.

Kama mtu amekukosoa kwa hoja kwa nini na wewe usimjibu kwa hoja?

Raisi wa nchi husika, mtu kama Ben ni mtoto mdogo sana, haikupaswa kujibizana naye, coz hata kukaa kimya pia ni jibu tosha kwa mpiga kelele mitandaoni.

Umechukua uhai wake na wewe wamechukua uhai wako.

Ukipanda uovu utavuna uovu, pia ukipanda mema utavuna mema.

Maisha ni mafupi sana, Dunia ni mahali pa kupita tuishi kwa hofu ya Mwenyezi Mungu. R.I.P Ben Saanane.​
We ulikuepo akichukua huo uhai wa Ben saa nane
 
Akili bila maarifa haikusaidii, Mungu ametuambia " watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" Yule dogo malezi yake yalichangia, hakuheshimu wakubwa alikuwa na kiburu kisa msomi. Biblia yatuambia "tiini mamlaka zilizopo maana zote zatoka kwa Mungu" Rais anaongoza watu zaidi ya 60M na amechaguliwa we lofa moja kwa kuwa humpendi unampandikia kila tusi, kila uzushi, kila uwongo, kila upotoshaji, unajaribu kuleta uchochezi, utashughulikiwa tu na dola hiyo ni tangia zamani ht leo hakuna sehemu utafanya huo upuuzi
Nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani, kwenye maisha jua nafasi yako, jua nguvu pamoja na udhaifu wako, jua nguvu na udhaifu wa adui yako, ukiona kuna eneo umezidiwa just admit defeat and let it go.
 
Leo tena wamehamia kwa Mwabukusi baada ya kuanza kwa Mdude.

Hakuna sarakasi za aina yoyote zitawatoa serikali na policcm kwenye hili suala.

Hadi leo namba iliyomtishia hakuna ripoti ya uchunguzi yoyote miaka 9 imepita.

Hakuna ripoti ya aina yoyote ya ufuatiliaji tangu Ben alipopotea imewahi kutolewa na polisi.
 
Safari inaendelea. Vitisho. Haya ndiyo maisha yetu ya Kila siku. Mengine tumetoa Ripoti Polisi huko

Kuna watu hawa miongoni mwa wengi. Yeye anaandika "Ben Saanane unachokitafuta ndani ya Serikali hii utakipata. Kwa elimu na uwezo wako hatukutarajia ungefikia hatua ya ajabu kwa namna uliyofikia.

Hujiulizi kwanini upo huru hadi muda huu You are too young to die. Tunajua utaandika na hili. Andika lakini the next post hutaandika ukiwa na uhuru wa kutosha. Andika but your days are numbered. Unajua kuna rafiki yako alipuuza na hutaki kuandika kuhusu yeye labda kwa kuwa alitangulia. Andika Ben. Andika sana, ongea. Sema lakini utajikuta mwenyewe na chatu"

He's such a coward. Muoga. Muaji anayejitangaza nae ana hofu tupu

Nimemshukuru lakini nimemjibu kwa namba yake hii 0768797982 ambayo ipo polisi.

Haya tunasonga mbele Watanzania. Kama ni Uchochezi sidhani kama upo uchochezi mkubwa zaidi ya huu.

As long as tupo hai, Sauti zetu hazitakoma. Tutaandika, Tutasema, Tutahutubia na tutafanya vitendo

Kitu kimoja tu cha hakika ni kuwa Damu ikimwagika hasa damu ya kimapinduzi hutoa mvuke utakaonyesha na kutiririsha mafuriko katikati ya mito na vijito vya haki. Kama itanyesha mvua ya Radi basi itaambatana na mwanga na cheche zitakazowamulika walaghai, watesaji, wakandamizaji wa hakiWatetezi wa haki watapata mwanga katikati ya giza tororo la Unyanyasaji, unafiki na ubakaji wa taaluma na dhamiri zao kitaaluma na kiimani.

Yesu Kristu aliishi miaka 33 tu duniania. Nina Mwaka Mmoja bado. He fought the right cause. Alikuja Duniani kimungu. Kila mtu anaishi kutokana na makusudi ya Mungu. Mwenyezi Mungu huruhusu kila jambo kwa makusudi yake. Sisi ni akina nani tukatae makusudi yake? Hatukujileta Duniani na hatutaishi milele.

Wasichojua watu hawa ni kuwa nilizaliwa na kubatizwa hatari siku hiyohiyo kama Mkatoliki. Ubatizo wa kifo(Hatari) 13 Desemba miaka hiyo, nikapona kwa fadhila zake Muumba. Nimepata fadhila sana Machoni pa Mwenyezi Mungu hadi muda huu. Wanajisumbua! Nimeishi beyond that favour

Oh nakupenda mpenzi wangu Tanzania. I love you more than words can wield the matter, dearer than eyesight, space and Liberty. Oh I love you Tanzania. My Pride, My fountain of inspiration."

Mlale salama marafiki zangu wapendwa.

Mapambano na Yaendelee, Ushindi U Dhahiiri (Aluta Continua, Victory Ascerta)

Pumzika kwa amani Rafiki yangu kipenzi Alphonce Mawazo. Hukukopa, Ulijiandaa kulipa gharama. Ukalipa Deni. Tunasonga Mbele! Nitalitaka Jeshi la Polisi liunganishe ujumbe uliotumwa na kifo chako katika hatua za uchunguzi.

Ben Saanane
Aisee hili andiko Lina toa MACHOZI/ MAUMIVU.
KAKA BEN PUMZIKA KWA AMANI HUKU CHADEMA NI YA LISSU NA KWA SASA RAIS WA TLS WAKILI MWABUKUSI WANAENDELEZA MAPAMBANO
 
Aliyekuwa na cheti feki ni yule aliyeogopa kuhojiwa uhalali wa PhD yake hadi huyu mleta mada akauwawa, sasa unaanzaje kwenda kutumbua wenye elimu ya kubabaisha ilhali wewe hujathibitisha kwa kukubalu tasnifu yako ionekane kwa maslahi ya umma.

Hadi leo hakuna mahali tasnifu yake inapatikana pale UDSM.

Mwisho tu nikueleze sijawahi kuwa mtumishi wa umma Tanzania.
M
Ila
 
Chadema
Wameifanya tar 7/09 kuwa siku ya mashujaa wa kweli waliopigania demokrasia
 
Nilichokuja kugundua...kuna damu ukiimwaga ni sawa unachochoe moto kwenye petrol.

Mungu huwa na makusudi na watu hao.

Siku moja watakuwa mashujaa na kila mtu atalitambua hilo.
 
Back
Top Bottom