Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Hatujamaliza ya Magufuli unataka kuhamia kwa mama Abdul?

Leopold Lwajabe aliuwawa lini?

Lissu alipigwa risasi lini?

Raphael Ongangi alitekwa lini?

Mo Dewji alitekwa lini?

Roma Mkatoliki alitekwa lini?
Wakuteke na wewe sasa
 
Wewe shoga tu ndio tatizo linalokusumbua.
Inaonekana unapenda ushoga eh?

Mimi sio mrengo huo, watafute mrengo huo utawapata na wanapewa support na serikali yenu ili kukidhi masharti ya wahisani wa bajeti.

Ushahidi huo hapo .
DurhxU_WsAEwADu.jpg
 
Wewe ni shoga ndio maana unamchukia Magufuli kwa sababu aliwazuia mchezo wenu.
Umehama mada ya maana umeangukia mada za mashoga!

Nyie maafande ni sifuri kabisa kama vigezo vyenu vya ajira.

Mashoga hao hao Magufuli aliwapa ulinzi kwa kutomuunga Bashite mkono katika kampeni ya kuwapoteza hivyo nae alikuwa shoga?
DurhxU_WsAEwADu.jpg
 
Hatujamaliza ya Magufuli unataka kuhamia kwa mama Abdul?

Leopold Lwajabe aliuwawa lini?

Lissu alipigwa risasi lini?

Raphael Ongangi alitekwa lini?

Mo Dewji alitekwa lini?

Roma Mkatoliki alitekwa lini?
We si umesema alieendesha hayo mambo amekufa sasa mbona bado watu wanauwawa unaakili timamu kweli au kichwa chako kimejaa mavi
 
We si umesema alieendesha hayo mambo amekufa sasa mbona bado watu wanauwawa unaakili timamu kweli au kichwa chako kimejaa mavi
Kwani kikosi chake cha utekaji hakikufa nae?

Hii awamu nayo imeingia na kikosi chake hivyo nayo itakuwa judged kwa makosa yake.

Makosa ya awamu hii sio kinga ya kufuta ushenzi wa huyo dikteta mwendawazimu.
 
Kichwani kwako Kuna Mavi mzee
 
Tunaomba utuoneshe kaburi la mtoa mada maana umesema aliuwawa
Waulize watekaji walishasema humu watamrusha kwenye pori lenye chatu hivyo hatorudi humu tena .

Hii ipo mada ya juu huko mtekaji mkuu anajiita Tumainiel usiniulize mimi .
 
Kichwani kwako Kuna Mavi mzee
Dalili za kushindwa kutoa majibu nimeuliza hao wahanga wa matukio ya kikatili yalikuwa awamu gani umeshindwa kutoa jibu basi nenda kalie Chato pengine atafufuka dikteta wenu maana kikosi cha utekaji awamu ile hamna kazi kwa sasa.
 
  • Dislike
Reactions: UCD
Dalili za kushindwa kutoa majibu nimeuliza hao wahanga wa matukio ya kikatili yalikuwa awamu gani umeshindwa kutoa jibu basi nenda kalie Chato pengine atafufuka dikteta wenu maana kikosi cha utekaji awamu ile hamna kazi kwa sasa.
Wewe umesema Ben kauwawa tuonyeshe kaburi la Ben saa nane inaonesha unajua vizuri sana mpaka kifo chake mkuu
 
Back
Top Bottom