britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Nam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha Serikali inajua Mbowe ameua na imefyata? To cut the story short unasema Serikali ni dhaifu sio?Mbowe ulikosea sana kumuuwa huyu kijana.
Gazeti la mwanahalisi linalomilikiwa na mwanachadema Saed Kubenea lilianika mpango mzima.
Kijana wa hovyo huyo achana nae.Unamaanisha Serikali inajua Mbowe ameua na imefyata? To cut the story short unasema Serikali ni dhaifu sio?
Shetani mwenyewe anaombaga ushauri kwa CCMCCM na makaburu hawana tofauti yoyote.
Jinga kabisa Hilo akili zake zipo matyakoniOne death it's to many,kifo cha mtu mmoja hakina tofauti na vifo 700,wote ni wauaji,serikali ya ccm na makaburu kwa issue they join in the hip
Tuendelee kumuomba Mungu sana!DAB ana kesi ya kujibu wapi walipomzika Ben Saanane.
Tuendelee kumuomba Mungu sana!
Sisi sote ni ndugu, watoto wa baba mmoja. ( Wimbo wa reggae Justin Kalikawe) Unaujua mkuu?Hivi Ben Saa 8 na Malisa G ni ndugu?