Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Ukimwaga damu ya mtu aliyeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu halisi huwezi kubaki salama.
Wale walionya unyama huu wanatajwa sana, na hukumu zao zinaanzia hapa duniani.
Kwa kukosoa tu, mtu anapotezwa mazima, mambo haya yalifanywa na wafalme wa zama hizo: Herode kwa Yohane Mbatizaji, ...
 
Sina haja kujua hayo,sio mwanasiasa na siipendi.
Aliingia kwa pupa akaondoka kwa pupa.sasa hatujui yuko wapi.
We unajiuliza mi najiuliza watu kibao wanajiuliza ila utafanyaje? Unaachilia mbali tu.
Hakuna mwenye hati miliki ya hii dunia.
 
Nijiskie nini kwa huyo mpuuzi,nilimwambia zamani sana uko third world jiangalie.akabisha akawa mjuaji wanajua wenye kazi zao walichofanya.
Nilijaribu kumshtua tu kama mdogo wangu basi.
Bro kila mtu awe mlamba BUTI it's not fair... sio sawA kabisa tunajenga nyumba Moja then tunagombania fito.... Ben alikua so smart kichwani....

In third word countries tunajua kabisa Huwa kuna Rigging election (voter fraud)

Mtu kama Tundu lisu angeamua KUA mlamba BUTI sasa ivi angekua jaji mkuu au hata spiker wa bunge......ie Mwigulu mchemba

Binafsi mimi ni aina ya watu kama MAGUFULI, binafsi huwa sipendi kubishiwa ni mkali Sana na ninacho kiamini lazima kitimie kwa jasho na damu.......

Kuna watu huwa wanakera Sana hasa hasa mkipishana mitazamo unaweza tamani kuwa angamiza ila nilicho jifunza ni kukaa nao na kuwasililiza na kukubali kutokubaliana......

Bro Ben alikua ni kijana alie tu inspire Sana Vijana wengi kwenye siasa na damu yako iwe chachu ya ki mapinduzi......

Mimi huwa nachukia Sana Vijana walamba BUTI.....wanao tanguliza matumbo yao mbele kuliko wanao wawakilisha.....

R.i.p ben
Wasalaam,
 
Daah Mwamba alionywa kweli na akajua na akajibu na akakomaa. Akina Dedan Kimathi hakika wapo, Very inspirational message and the man himself nawasalimu kwa uzalendo mamentor wake wote pamoja kanisa katoliki. General China, navuka msitu wa Ngongi naelekea Msitu wa Mau Mau karibu na Gula River.

R.I.P Mwaba's, Ulipo tupo even spiritually your immortal. Nitakuwakilisha mahala popote.

Hata hapa Kenya tayari wanakujua kupitia Mimi.
 
He fought a self battle and that was wrong, snipping is good for self battle not in an open field.His vitisho did not go along with higher rank support from Chadema and this should stand as a stiff warning to all blind youths dreaming political bells. Sorry I love him though
 
Ben aliambiwa mara 10 kidogo,huko alipokuwepo, badae wakaanza kukinzana na kina zitto na Mbowe mara wakapotea na msala wa serikali.
Huyo dogo alikua anajichanganya sana yuko kushoto kulia ,mashariki magharibi sasa km walitambaa nae watajua wao
 
KmmAE Wangese walimuua huyu hata siamini....
Daah...sijui nchi ilikuwa inaenda wapi....
Bora sana yule mshenzi asiyestaarabika aliuwawa na covid...
Na hatotokea kamwe turudie makosa ya kumpa nchi mshenzi muuaji muongo na mpumbavu mwingine....
naamini hata hao CCM wenyewe walijua waliiingia cha kike..
Yamebaki masalia yake yanatapatapa na yote ni kwisha 2025....
 
Umeandika point tupu alikuwa hataki kukosolewa hata kidogo
 
Hivi huyu mkuu WA polisi Tanzania alishawahi soma hii article ya Ben Saa Name? Nakwama alizisoma..haoni aibu kusema kuwa namba hiyo JESHI lake halikuifanyia kazi?? Mpaka WA Leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…