Benard Membe: Trump alishindanishwa na wenzake na akashinda kugombea awamu ya pili

Benard Membe: Trump alishindanishwa na wenzake na akashinda kugombea awamu ya pili

Haueleweki BAWACHA, unaambiwa jibu swali we unazidisha maswali, utajibiwa vipi maswali yako wakati ya wenzako hautaki kuyajibu?
Ni sheria ipi inasema kua inabidi kuuliza au kuhitaji time huru ukiwa madarakani?
Pili kada mtiifu Membe ameona ni muda sahihi kufanya yeye kuliko kumtaka mtu mwingine afanye.
Mwisho..ebu nipe evidence ya JPM akikemea rushwa,ufisadi wakati wa Mkapa na Kikwete.
 
Kwanini hakuyasema haya Kikwete alipokua anagombea term ya pili? Kikwete aligombea na nani term ya pili?

Na huyo Trump alishindanishwa kisiri siri? Kwa nininiwe kisiri siri? Na ni lini? Na alishindanishwa kwa nani? Taratibu za Marekani ni kuwa kila jimbo wanachama wanapiga kura. Tuliiona hiyo mwaka 2016 kwa vyama vyote Republican na Democrats. Mwaka huu tumeshuhudia kimoja tu Democrats. Trump alishindanishwa na hao wengine kwa wapiga kura gani?
 
Safi sana Membe agombee huko huko CCM maana wanachama wa CCM wanasema wanamhitaji kwa hali na mali.
membe yupo sahihi
Inasikitisha lakini inachekesha- huwa hawapigi kelele wanapokuwa ndiyo wameshika mpini, sasa ukiwageuka wakashika makalini ndio wanapata fahamu. Mwinyi, BWM na JK kila mtu alikula 10 bila challenge baada ya miaka 5. Bilali alijaribu wakamshukia na mwisho wakampa umakamo bora tu asim challenge Karume. Sasa zamu ya JPM wamwache na yeye aule. Hata hivyo sinasikia kuna mfuko mmoja tu wenye formu na huo ulisha andika JPM. Kwa jiwe hata israel hafui dafu, wasubiri 2025 Mola akiwajalia.
 
ukiona watu wanam-challenge ujue kaharibu
 
Na nilichogundua kuhusu huyu Mheshimiwa baro ni kwamba hafuatilii siasa za kimataifa, na kwa muktadha huu, siasa za US! Lau kama angekuwa mfuatiliaji, mara moja angeona Bill Weld na wenzake waliotajwa hapo juu wote ni Republican Florida, na siasa zilizotajwa ni za FL!
Naheshimu mawazo yako , kuhusu kufatilia au kutofatilia Ni juu yangu , nafaham Mimi mwenyewe

Lakini Kuna sehemu unakosea , hiyo Florida bado iko Marekani na sio Kwingineko
 
Sidhani kama wewe ni mwana CCM.

hoja yangu ama swali sio halali kama mimi sio mwana CCM?

Wewe mwana CCM nambie:

Mambo ya CCM yanaendeshwa kwa vikao.

Kikao gani kiliamua "sheria ya kitamaduni" kwamba tiketi ya CCM ya Urais haishindanishwi baada ya muhula mmoja wa Rais mwana CCM ???
 
Naheshimu mawazo yako , kuhusu kufatilia au kutofatilia Ni juu yangu , nafaham Mimi mwenyewe

Lakini Kuna sehemu unakosea , hiyo Florida bado iko Marekani na sio Kwingineko
Wewe ulichomaanisha ni nini kama sio kwamba Trump amepitishwa kuwa mgombea wa Republican kwenye uchaguzi ujao na sio kwamba amepitishwa jimbo la FL kupambana na wana-Rep wenzake?

Na endapo hicho sio ulichomaanisha, kumbe unachokosoa kutoka kwenye hiyo tweet ni nini?!
 
Haueleweki BAWACHA, unaambiwa jibu swali we unazidisha maswali, utajibiwa vipi maswali yako wakati ya wenzako hautaki kuyajibu?
Sasa dada yangu unataka nikujibu wakati hamna swali..sio kila kwenye alama ya kuuliza ni swali.
 
Jibwa koko joga sana hana uwezo waku battle na mtu yeyote uwezo wake mdogo sana.
ukiona binadamu anajifananisha na mbwa huyo achana nae, hongera kwa kujiona lijimbwa likali ila usiniambukize mimi uzwazwa wako
 
Mwangalieni mwingine huyu! Hivi unajua unachouliza ni nini hasa?! Kwani kupitishwa kugombea FL ndo kupitishwa kugombea US?!
Mkuu mbona hasira sana...Trump amepata wapinzani kwenye chama chao ila akashinda. JPM na BCM wachuane tu kwenye chama
 
Hii TANZANIA SIO MAREKANI... mbona hajatumia mfano wa China au Urusi ( Demokrasia sio kama chupa ya coca cola ifanane kila nchi) ... Tanzania has its own model of Democracy Zwazwa mkubwa
Chief nadhan huu mjadala majibu yote umeyatoa ktk haya maneno yako.
 
Mkuu mbona hasira sana...Trump amepata wapinzani kwenye chama chao ila akashinda. JPM na BCM wachuane tu kwenye chama
Sasa kumbe ulipohoji ikiwa FL ipo Muleba hoja yako hasa ilikuwa ipi?! Manake sikuelewi!
 
Back
Top Bottom