U unprejudiced JF-Expert Member Joined Jan 27, 2017 Posts 3,503 Reaction score 2,865 Jun 26, 2020 #261 Blac kid said: Magufuli anakwenda kuandika rekodi ya rais wa kwanza tz kuongoza muhula mmoja Click to expand... Akiongoza 2. tukufanyeje mkuu. Tumechoka na maneno maneno. Weka ahadi mkuu.
Blac kid said: Magufuli anakwenda kuandika rekodi ya rais wa kwanza tz kuongoza muhula mmoja Click to expand... Akiongoza 2. tukufanyeje mkuu. Tumechoka na maneno maneno. Weka ahadi mkuu.
Don san tan JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 566 Reaction score 439 Jun 28, 2020 #262 baro said: Mwanasiasa ambaye anaonekana Msumbufu kwa kipindi hiki , ameandika huko katika mtandao was Twitter kuhusu Mchakato wa Kumpata Rais Trump wa Marekani kugombea awamu ya pili View attachment 1487440 Click to expand... HUYU SIYO MWENZETU KWENYE CHAMA CHETU. HUYU SASA NI MPINZANI WETU
baro said: Mwanasiasa ambaye anaonekana Msumbufu kwa kipindi hiki , ameandika huko katika mtandao was Twitter kuhusu Mchakato wa Kumpata Rais Trump wa Marekani kugombea awamu ya pili View attachment 1487440 Click to expand... HUYU SIYO MWENZETU KWENYE CHAMA CHETU. HUYU SASA NI MPINZANI WETU