Benard Membe: Trump alishindanishwa na wenzake na akashinda kugombea awamu ya pili

Benard Membe: Trump alishindanishwa na wenzake na akashinda kugombea awamu ya pili

Katiba sio msahafu kamati kuu ya Chama imeridhia kuendelea na mgombea huyohuyo ... Huyo Membe yeye ni nani hasa mpka avunje utamaduni na makubaliano ya kamati kuu ... KUNA VYAMA VINGI AENDE ANAPOONA KUNA MFAA SI NDIO DEMOKRASIA HIYO?
Hao kamati kuu ni akina nani mpaka wawe juu ya katiba ya chama?!
 
Yeye sio wakwanza kutumuliwa walishatimuliwa watu wazito huko nyuma

Membe ni mwanachama wa kawaida tu atawatisha nyie mlieanza siasa juzi
Kama ukisema maneno hayo halafu upo karibu na jiwe anaweza kukutia shaba maana anaona kama unamdhihaki.hujue hali na halali kwa raha sababu ni membe.
 
Mwanasiasa ambaye anaonekana Msumbufu kwa kipindi hiki , ameandika huko katika mtandao was Twitter kuhusu Mchakato wa Kumpata Rais Trump wa Marekani kugombea awamu ya pili

View attachment 1487440
Mambo ya utamaduni waende MAKUMBUSHO au JUMBA LA SANAA ,kwenye Demokrasia hakuna kitu kinachoitwa UTAMADUNI ,JEIPIEMU aruhusu wengine wachukue form za kugombea urais ndani ya chama chao,kama anakubalika atapitishwa tu wasiwasi wa nini? Na yeye si alisema kazi ya urais ni ngumu yaani anajuta kwanini hapo 2015 aliomba sasa iweje ameomba tena na kuzuia wengine wasichukue?
 
Mkuu kama jiwe anataka kweli kugombea uraisi msimu huu basi asiluhusu membe kuchukua fomu.lakini akiji tusu kuacha achukue fomu basi ujue jiwe hana chake kaisha hapiti hata afanyeje.
Safi napenda watu wenye mawazo huru lakini sio huu utopolo huyu mpumbavu anatupostia hapa. Its really true this person is very stupid
 
Mwanasiasa ambaye anaonekana Msumbufu kwa kipindi hiki , ameandika huko katika mtandao was Twitter kuhusu Mchakato wa Kumpata Rais Trump wa Marekani kugombea awamu ya pili

View attachment 1487440
Hata Kikwete alishindanishwa na John Magale Shibuda kunako 2010. Kwa huyu hataki mgombea mwenza?
 
Tuko pamoja na Membe
Magufuli aende akapumzike, kaivuruga vuruga sana nchi kutokana na uendeshaji wa mambo bila kuheshimu katiba na sheria
 
Mambo ya utamaduni waende MAKUMBUSHO au JUMBA LA SANAA ,kwenye Demokrasia hakuna kitu kinachoitwa UTAMADUNI ,JEIPIEMU aruhusu wengine wachukue form za kugombea urais ndani ya chama chao,kama anakubalika atapitishwa tu wasiwasi wa nini? Na yeye si alisema kazi ya urais ni ngumu yaani anajuta kwanini hapo 2015 aliomba sasa iweje ameomba tena na kuzuia wengine wasichukue?
Sijui tamaduni gani hii ambayo hata nikki mbishi hayupo.😂😂😂😂😂
 
Hiyo fomu akachukue wapi wakati mjomba wako jiwe kaprint fomu moja tu.
Kwani lazima CCM ndio maana kuna vyama vingi vya siasa, watu walishakufukuza wewe unang'ang'ania tuu ilihali wao wala hawana mpango hata wa kulitaja jina lako kwa bahati mbaya.
 
Kwani lazima CCM ndio maana kuna vyama vingi vya siasa, watu walishakufukuza wewe unang'ang'ania tuu ilihali wao wala hawana mpango hata wa kulitaja jina lako kwa bahati mbaya.
Kafukuzwa na nani?unajua taratibu za kufukuzwa uanachama ndani za ccm zikoje.usilopoke jambo usilo lijua ni bora kukaa kimya tu.
 
Back
Top Bottom