Hao kamati kuu ni akina nani mpaka wawe juu ya katiba ya chama?!Katiba sio msahafu kamati kuu ya Chama imeridhia kuendelea na mgombea huyohuyo ... Huyo Membe yeye ni nani hasa mpka avunje utamaduni na makubaliano ya kamati kuu ... KUNA VYAMA VINGI AENDE ANAPOONA KUNA MFAA SI NDIO DEMOKRASIA HIYO?
Fomu wenyewe moja muliyo ichapisha na imeshachukuliwa na mwenye nyumba pale Lumumba sasa membe akachukuwe fomu ipiMembe chukua fomu acha kulia lia
Chukua fomu sisi wapiga kura ndio tutaamua
Fomu wenyewe moja muliyo ichapisha na imeshachukuliwa na mwenye nyumba pale Lumumba sasa membe akachukuwe fomu ipi
Kama ukisema maneno hayo halafu upo karibu na jiwe anaweza kukutia shaba maana anaona kama unamdhihaki.hujue hali na halali kwa raha sababu ni membe.Yeye sio wakwanza kutumuliwa walishatimuliwa watu wazito huko nyuma
Membe ni mwanachama wa kawaida tu atawatisha nyie mlieanza siasa juzi
Mambo ya utamaduni waende MAKUMBUSHO au JUMBA LA SANAA ,kwenye Demokrasia hakuna kitu kinachoitwa UTAMADUNI ,JEIPIEMU aruhusu wengine wachukue form za kugombea urais ndani ya chama chao,kama anakubalika atapitishwa tu wasiwasi wa nini? Na yeye si alisema kazi ya urais ni ngumu yaani anajuta kwanini hapo 2015 aliomba sasa iweje ameomba tena na kuzuia wengine wasichukue?Mwanasiasa ambaye anaonekana Msumbufu kwa kipindi hiki , ameandika huko katika mtandao was Twitter kuhusu Mchakato wa Kumpata Rais Trump wa Marekani kugombea awamu ya pili
View attachment 1487440
Huu umbea wako wa mitandaoni ndio hatuutaki.ukweli upo dodoma na tumeuona.acha umbea.Fomu zipo nyingi acha siasa za umbea mtandaoni
Safi napenda watu wenye mawazo huru lakini sio huu utopolo huyu mpumbavu anatupostia hapa. Its really true this person is very stupidMkuu kama jiwe anataka kweli kugombea uraisi msimu huu basi asiluhusu membe kuchukua fomu.lakini akiji tusu kuacha achukue fomu basi ujue jiwe hana chake kaisha hapiti hata afanyeje.
Hivi kumbe wewe ni Membe? Kavunjeni ulisema una wenzako sita.Kwahiyo unataka tuvunje mlango au?
Umemsikia Bashiru alivyosema kuhusu zanzibar wagombea walivyojitokeza wengi? Na Huyo bashiru si ndio anayetoa form kwa huko CCM bara?Fomu zipo nyingi acha siasa za umbea mtandaoni
Hata Kikwete alishindanishwa na John Magale Shibuda kunako 2010. Kwa huyu hataki mgombea mwenza?Mwanasiasa ambaye anaonekana Msumbufu kwa kipindi hiki , ameandika huko katika mtandao was Twitter kuhusu Mchakato wa Kumpata Rais Trump wa Marekani kugombea awamu ya pili
View attachment 1487440
Anaonaje akienda kuishi Marekani eeh! Atuachie bongo yetu.Mwanasiasa ambaye anaonekana Msumbufu kwa kipindi hiki , ameandika huko katika mtandao was Twitter kuhusu Mchakato wa Kumpata Rais Trump wa Marekani kugombea awamu ya pili
View attachment 1487440
Sijui tamaduni gani hii ambayo hata nikki mbishi hayupo.πππππMambo ya utamaduni waende MAKUMBUSHO au JUMBA LA SANAA ,kwenye Demokrasia hakuna kitu kinachoitwa UTAMADUNI ,JEIPIEMU aruhusu wengine wachukue form za kugombea urais ndani ya chama chao,kama anakubalika atapitishwa tu wasiwasi wa nini? Na yeye si alisema kazi ya urais ni ngumu yaani anajuta kwanini hapo 2015 aliomba sasa iweje ameomba tena na kuzuia wengine wasichukue?
π€£ π€£ π€£ π€£ eti eeh! Mbona alipokonywa uanachama?Membe chukua fomu acha kulia lia
Chukua fomu sisi wapiga kura ndio tutaamua
Huu ndio ushauri, no moreKama unataka kugombea tena subiri 2025Mzee Membe.
Jibu kwanza swali uliloulizwa halafu ndo uulize lakoKwanini hukumshauri kuyazungumza ayo wakati wa Kikwete?
Lissu atapita kiulaini tu Kama atagombea na jibwa Koko lenu.Tatizo ya jibwa koko ni muoga sana hakafu linabweka sana kumbe halina lolote.
Fomu zipo nyingi Zanzibar siyo TanganyikaFomu zipo nyingi acha siasa za umbea mtandaoni
Kwani lazima CCM ndio maana kuna vyama vingi vya siasa, watu walishakufukuza wewe unang'ang'ania tuu ilihali wao wala hawana mpango hata wa kulitaja jina lako kwa bahati mbaya.Hiyo fomu akachukue wapi wakati mjomba wako jiwe kaprint fomu moja tu.
Kafukuzwa na nani?unajua taratibu za kufukuzwa uanachama ndani za ccm zikoje.usilopoke jambo usilo lijua ni bora kukaa kimya tu.Kwani lazima CCM ndio maana kuna vyama vingi vya siasa, watu walishakufukuza wewe unang'ang'ania tuu ilihali wao wala hawana mpango hata wa kulitaja jina lako kwa bahati mbaya.