Benard Morrison kuanzia kesho ni Mchezaji huru

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Nyota wa Klabu wa Yanga, Benard Morrison raia wa Ghana amesema kuanzia kesho yeye ni Mchezaji huru.

Morrison ambaye juzi aliondoka huku mchezo dhidi ya Simba ukiendelea amedai kuwa mkataba wake halali na klabu ya Yanga unaisha leo July 14.
 
Bernard morrison wana Yanga walimuaminisha kuwa timu ya kuifunga ni simba pekee sasa morrison kushindwa kuifunga simba wanamsingizia hana nidhamu mbona watu kama baloteli, gatuso na wengine ni wokorofi ila walitumika na vilabu vyao na wakaleta mataji kwenye vilabu,...yanga wamezidiwa
 
Source??

Movie linaendelea
IMG-20200714-WA0041.jpg
 
Mimi sio mpenzi wa Mpira wa miguu Ila da huyu Dogo anahitaji kupelekwa Mirembe Kwanza kabla ajapewa ruhusa na TFF kucheza katika timu za hapa Tanzania.sidhani Kama akili zake zipo sawa,naona Kama dishi limeyumba vile
 
Kama ni kweli ayasemayo Morrison kuhusu mkataba wake kuisha, basi amethibitisha yafuatayo:
1. Alisajiliwa baada ya dirisha kufungwa na TFF wakapotezea (Viongozi wa TFF ni wababaishaji) maana kwa maelezo yake alicheza mechi 2 bila kusaini mkataba

2. Anazidi kutuambia kwamba soka la Tanzania limejaa viongozi wa HOVYO (yaani hakuna kitu kichwani) kuanzia Shirikisho hadi ngazi ya Vilabu.

3. GSM ni waongo sana, hakuna la maana wanafanya zaidi ya kuigawa Yanga huku wakifaidika wao.

4. Atasajiliwa SIMBA, hapa ndiyo atadhihirisha point na.2 hapo juu.

HITIMISHO: Vilabu vikongwe hapa Tanzania bado vinakasumba ya kuingilia benchi la ufundi hasa kwenye mechi hizi za watani, viongozi/wenye fedha klabuni kusajili wachezaji wanaowapenda ila sio kwa matakwa ya benchi la ufundi mfano:Ajib kurudi Simba.

Soka la bongo lipo kwa ajili ya matumbo ya watu, angalia mkataba wa UHL na SIMBA kisha GSM na YANGA kuhusu mauzo ya jezi. Hawa watu wanatengeneza pesa sio kawaida, pumbafu sana.
 
Hizo timu alizocheza bila mkataba zidai haki zao tff zinazibeba sana timu kubwa
 
Bernard morrison wana Yanga walimuaminisha kuwa timu ya kuifunga ni simba pekee sasa morrison kushindwa kuifunga simba wanamsingizia hana nidhamu mbona watu kama baloteli, gatuso na wengine ni wokorofi ila walitumika na vilabu vyao na wakaleta mataji kwenye vilabu,...yanga wamezidiwa
baloteli mkuu
 
Back
Top Bottom