redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 5,813
- 12,921
Benard Morrison anahangaika na kichwa chake, Tff walisha maliza mjadala wake anachotakiwa ni kuendelea kufanyakazi na mwajiliwake. Kwa apa nchini hawezi kwenda timu yoyote bila Yanga kuidhinisha, kwa nje ya nchi hawezi kusajiliwa popote bila Chama Cha mpira wa Tanzania kutoa ushirikiano kwa ujumla anahangaika mwishoe Yanga wataendelea kumkata mshahara mbaka akili yake itakapo tulia.