4G imewatia kiwewe UtopoloYanga hamtamsahau Morison maisha yenu yote kwa 4G ya simba, achani atafute pesa ndo mtu atajituma sio kwa kumlazimisha acheze wakati hamna maslahi
Simba hatutaki matapishi ya yanga, waliomleta wamtumie, sisi simba tutatafuta wachezaji wenyewe na tutapata wachezaji wazuri tuAende tu Simba akasugue benchi.
Nyie ndo mnampa kichwa. Angejua anatumika tu kuiharibia Yanga angeacha dharau.Simba hatutaki matapishi ya yanga, waliomleta wamtumie, sisi simba tutatafuta wachezaji wenyewe na tutapata wachezaji wazuri tu
Nyota wa Klabu wa Yanga, Benard Morrison raia wa Ghana amesema kuanzia kesho yeye ni Mchezaji huru.
Morrison ambaye juzi aliondoka huku mchezo dhidi ya Simba ukiendelea amedai kuwa mkataba wake halali na klabu ya Yanga unaisha leo July 14.
Sio mpenzi wa mpira wa miguu ,umeyajuaje haya?[emoji23][emoji23]Mimi sio mpenzi wa Mpira wa miguu Ila da huyu Dogo anahitaji kupelekwa Mirembe Kwanza kabla ajapewa ruhusa na TFF kucheza katika timu za hapa Tanzania.sidhani Kama akili zake zipo sawa,naona Kama dishi limeyumba vile
Unikome Kama ulivyokoma ziwa la mama ako sikujui unijuiSio mpenzi wa mpira wa miguu ,umeyajuaje haya?[emoji23][emoji23]
Wewe ni Uto.
Hizo timu alizocheza bila mkataba zidai haki zao tff zinazibeba sana timu kubwaKama ni kweli ayasemayo Morrison kuhusu mkataba wake kuisha, basi amethibitisha yafuatayo:
1. Alisajiliwa baada ya dirisha kufungwa na TFF wakapotezea (Viongozi wa TFF ni wababaishaji) maana kwa maelezo yake alicheza mechi 2 bila kusaini mkataba
2. Anazidi kutuambia kwamba soka la Tanzania limejaa viongozi wa HOVYO (yaani hakuna kitu kichwani) kuanzia Shirikisho hadi ngazi ya Vilabu.
3. GSM ni waongo sana, hakuna la maana wanafanya zaidi ya kuigawa Yanga huku wakifaidika wao.
4. Atasajiliwa SIMBA, hapa ndiyo atadhihirisha point na.2 hapo juu.
HITIMISHO: Vilabu vikongwe hapa Tanzania bado vinakasumba ya kuingilia benchi la ufundi hasa kwenye mechi hizi za watani, viongozi/wenye fedha klabuni kusajili wachezaji wanaowapenda ila sio kwa matakwa ya benchi la ufundi mfano:Ajib kurudi Simba.
Soka la bongo lipo kwa ajili ya matumbo ya watu, angalia mkataba wa UHL na SIMBA kisha GSM na YANGA kuhusu mauzo ya jezi. Hawa watu wanatengeneza pesa sio kawaida, pumbafu sana.
baloteli mkuuBernard morrison wana Yanga walimuaminisha kuwa timu ya kuifunga ni simba pekee sasa morrison kushindwa kuifunga simba wanamsingizia hana nidhamu mbona watu kama baloteli, gatuso na wengine ni wokorofi ila walitumika na vilabu vyao na wakaleta mataji kwenye vilabu,...yanga wamezidiwa
TFF hii hii? Genge la wahuni hawa, wapuuzi sana. Yaani soka linaendeshwa kwa upendeleo kinomaHizo timu alizocheza bila mkataba zidai haki zao tff zinazibeba sana timu kubwa