Benard Morrison kuanzia kesho ni Mchezaji huru

Benard Morrison anahangaika na kichwa chake, Tff walisha maliza mjadala wake anachotakiwa ni kuendelea kufanyakazi na mwajiliwake. Kwa apa nchini hawezi kwenda timu yoyote bila Yanga kuidhinisha, kwa nje ya nchi hawezi kusajiliwa popote bila Chama Cha mpira wa Tanzania kutoa ushirikiano kwa ujumla anahangaika mwishoe Yanga wataendelea kumkata mshahara mbaka akili yake itakapo tulia.
 
Nyota wa Klabu wa Yanga, Benard Morrison raia wa Ghana amesema kuanzia kesho yeye ni Mchezaji huru.

Morrison ambaye juzi aliondoka huku mchezo dhidi ya Simba ukiendelea amedai kuwa mkataba wake halali na klabu ya Yanga unaisha leo July 14.

Ashakubali ndoa, asiogope shida za mwanaume wake yeye hana budi kuitumikia ndoa hivyo hivyo japo kishingo upande.Kuna wakati ili chaneli zisome ktk kisimbusi lazma upepo utulie,Ila kwamaon yangu Yanga Sc wasivunje mkataba naye Bali wamshushe ktk Under 20 ili awe anacheza chandim na watoto dish likae sawa
 
Unikome Kama ulivyokoma ziwa la mama ako sikujui unijui
Uto[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani umekasirika?
Pasuka
Ndegelec
Bumbavu.....
Kwani hii post uliyocomment mtoa post unamjua?
Kafe mbele kule usilete stress za 4g humu tutakuua kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
huyu jamaa ni mchezaji mzuri, tatizo lake ni kiburi hata aende team gani kiburi chake hakitaisha.
 
Mimi sio mpenzi wa Mpira wa miguu Ila da huyu Dogo anahitaji kupelekwa Mirembe Kwanza kabla ajapewa ruhusa na TFF kucheza katika timu za hapa Tanzania.sidhani Kama akili zake zipo sawa,naona Kama dishi limeyumba vile
Ndo tatizo lenu Utopolo mkifungwa fungwa mara mhamie Azam mara sio mpenzi wa mpira kama sio mpenzi wa mpira unajuaje kuchangia si bora urudi kwenye rede ulipozoea?
 
Ndo tatizo lenu Utopolo mkifungwa fungwa mara mhamie Azam mara sio mpenzi wa mpira kama sio mpenzi wa mpira unajuaje kuchangia si bora urudi kwenye rede ulipozoea?
Yanashangaza sana haya mamtu mkuu[emoji23][emoji23] hapo 4g imemkaba anajifanya hapendi soka alafu anacomment katika nyuzi za soka,
Jitu kama hili ndio hayachelewi kujinyonga au kutoa michozi mbele za watu.
 
Mimi sio mpenzi wa Mpira wa miguu Ila da huyu Dogo anahitaji kupelekwa Mirembe Kwanza kabla ajapewa ruhusa na TFF kucheza katika timu za hapa Tanzania.sidhani Kama akili zake zipo sawa,naona Kama dishi limeyumba vile
kama sio mpenzi wa mpira unajuaje uhusika wa tff nyie utopolo mnatakiwa kwenda mirembe
 
Huyu mwizi wa magari inabidi, atahiriwe mara ya pili nahisi ana kitaulo
Mimi sio mpenzi wa Mpira wa miguu Ila da huyu Dogo anahitaji kupelekwa Mirembe Kwanza kabla ajapewa ruhusa na TFF kucheza katika timu za hapa Tanzania.sidhani Kama akili zake zipo sawa,naona Kama dishi limeyumba vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…